@tanga_pazuri: USIKU WA SINGELI 🎤🔥. Kutana na Hyper Mkali kwa Mji wa Tanga kwa sasa 😌🔥🫡 ambae anaweza kucheza na crowd kama Hivi @konde mastory . Karibu tanga Pazuri utakutana na vibe lake kila sku 😋🔥 “ YOU BERA WATCH YUA BACK” Unazungumziaje performance yake ya Jana 🤔💭? #singeli #fyp #hyper