Daah siku yangu ya furah itakuwa ck ya msiba mana c kwa hii fedheha..
2026-09-28 03:51:29
49
RISK TAKER :
apo nawahakikishia nikiondoka na mwanamke wablock familia nzima wallah
2026-09-28 05:29:37
34
nisherbabie :
ifike mahala hya mambo ya mila sijui utani yaishe mana ni kuzalilishana tu
2026-09-28 06:35:38
17
ant shuu :
heeeee
2026-09-28 06:22:58
0
jey tz :
dah hii kit haijaa kaa sawa kabisa yan 🥺
2026-09-28 01:52:29
23
President Of 214 🫡+51 :
Ndoa ni jambo la heshima na furaha. Sijaona dalili ya Qur’an au Hadith sahihi inayotufundisha kumpiga bwana harusi baada ya nikaha. Kama ni utamaduni, tusiupe hukumu ya Sunnah. Na ikiwa kitendo hicho kinamfedhehesha au kumdhuru, basi ni bora kabisa kukiacha, kwa sababu Mtume ﷺ amesema: ‘Hakuna kudhuru wala kulipiza madhara.’”
2026-09-28 07:14:20
10
Marcelo_ 12 :
kipengele gani kinasema Ivo ktk ndoa
2026-09-28 06:58:03
1
Muuh :
dah nimeona post nyengine uyo jamaa analia 🥺 maskin kachukizwa
2026-09-28 06:05:48
3
barnaba boy :
mim usije ukanifanyia mpaka mke namuacha nasepaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 03:38:56
21
kysamm🤭 :
kafanya nn ata napigwa
2026-09-28 04:24:36
16
JACKSHARO🧢 :
yaan siku kama hii nkifanyiwa hivi nawaachia ndoa yao 🤣🤣🤣
2026-09-28 05:46:08
1
mtu smart :
washukulu mungu so mm mbn tungezika au kusafilisha
2026-09-28 05:45:33
1
Hamdoun Mansour :
ila Pemba. 🤔
2026-09-28 07:13:27
1
hadija jiriwa :
amekasirika sana bhana harus
2026-09-28 05:00:29
8
@mimah make up pemba :
heee wangu asije akapigwa mtanikosesha mume
2026-09-28 10:39:56
0
RACHEL ❤️ 😍 :
huwezi piga mme wangu afu nikuangalie tu weee
2026-09-28 03:55:13
7
RJ :
Mbona hamuelezi kisa mnaacha watu in dilemma
2026-09-28 05:59:42
0
ChillNaContent :
Nifafanulieni nini kinaendelea hapa!😳
2026-09-28 06:00:59
0
zalha Aqmar :
imekuaje jmn,mkipost video mtoe na maelezo😁😁
2026-09-28 06:39:22
1
mamuh moha :
mmmh mmithian wallah..ila kama uelezei kisa cha hii mov nlisema mtu asipost kabsa..maan atujui nin kinaendelea hapo..)(Tears of joy)(innocent)😳😳
2026-09-28 05:54:34
2
Unsullied :
uyo mwanamke anafanya nn apo
2026-09-28 04:57:36
4
epic_mobile_tz :
Huy jamaa alikua juz pale shekh amahfj. nabvsnz. bnsbsv. jkakavx b kakbz shsklxvbsggw. hhsbdhdnschn hjsbzgbslshbd vdnbjwkhbdhbdkjhd
2026-09-28 06:48:59
4
To see more videos from user @pinja_80, please go to the Tikwm
homepage.