@mulastar1: Diamond Platnumz anukuu vifungu vya Biblia wakati akimshukuru Joel Lwaga

mulastar255
mulastar255
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 20:00:04 GMT
253786
36946
1751
1322

Music

Download

Comments

fellin70
fellin🦋💕 :
Neno la Mungu linabondwa tu
2026-09-27 21:20:18
598
annyvath
annyvath#03 :
Aibu nimeona mimi yan Diamond anaijua Biblia kuliko mimi mkristo🌝🤗
2026-09-27 21:38:01
251
secondborn255
✪second BORN🏎️ :
Tusipokaa vizuri mondi anakuwa pastor
2026-09-27 20:52:30
708
japhemchina.spare
JAPHE#MCHINA SPARE PATRS :
KILA ULIMI LAZIMA UTAKIRI KUWA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU🙏🧎‍♂️
2026-09-27 21:04:09
738
itsmeshyner
Shyner :
Diamond ana ufahamu mpana Sana
2026-09-27 20:24:26
724
naimaa.said
NAKA STORE🛍️ :
Pastor platnumz tunae hatuna?🤣
2026-09-28 05:28:33
65
kingkilla_1
KingKilla :
Hiii ni aibu kwa watumishi waliohukumu yani Diamond Amekuwa mwepesi kuelewa Neno la MUNGU na kulifafanua kuzidi waliokaa kwenye wokovu miaka mingi ila wamekalia kuhukumu watu 🤔
2026-09-27 23:01:37
232
mr.msusi_andrew
Saint Andrew dread🇹🇿 :
Kama umeangalia hii video adi mwisho na umemuelewa diamond like tu
2026-09-27 20:43:11
540
hdcontentsbrands
HD CONTENTS :
Mchungaji Chibu Katisha sanaa
2026-09-27 20:58:58
171
linus.alistides003
🌻🌻Linus 🌅Alistides🪚🛠️ :
iyo misitari kaandikiwa na joel
2026-09-27 23:08:59
47
user4379379945083
Anita hitesh Robinson :
Tangu lini Giza Na Nuru zikawa pamoja
2026-09-28 05:30:24
11
mgisha.mboyelwa
Mgisha Mboyelwa :
mkimpa nafasi huyu atafungua kanisa na atapata wafaasi wengi
2026-09-27 20:40:42
497
user8076193621966
melki :
mondi is a future pastor 😁
2026-09-28 05:25:41
2
a_bbi3
Abigael🎀 :
This guy is smart y'll
2026-09-28 06:07:00
3
maryg2_beauty_natural
maryg2_beauty_natural :
Shame on Them🙌🙌
2026-09-28 05:41:12
2
vifexdee
miss...veee❤ :
Hallelujah
2026-09-28 05:27:41
3
mwemi23
G✅ :
REV.DIAMOND PLATNUMZ ☝️🙌🙌
2026-09-27 22:56:39
6
dadysfav4
Unknown :
Exactly
2026-09-28 05:29:32
2
memaosborn
Memaosborn :
note mtu asiye mcha Mungu wako asikufundishe namna na kumcha Mungu wako
2026-09-27 20:31:17
173
danhunyson
Dan Hunyson :
now a guy like him explaining things real Christians can't. glory to God
2026-09-27 21:38:30
74
0lpa_girl1
🌹olpa💖💝 :
huyu nae akiwaga naseeb anaeleweka sana
2026-09-28 05:24:31
33
user9779009178832
Kulwa :
kuwapa chakula ukumbini ni huduma si uwape mitaji
2026-09-27 21:33:48
30
ms.___pendo
ms.___pendo :
Nilichokiona hapa sisi wakristo tumehukumiwa maneno haya ni mazito sana nasikia hadi kulia😭😭 Daimondi upetupiga baba, sisi wachungaji na baadhi ya wakristo kazi yetu ni kuhukumu tunaona tumeimiliki mbingu Eee Yesu tusamehe sisi🙆🏼‍♀️🙆🏼‍♀️🙏🏼🙏🏼
2026-09-28 04:35:40
9
japhetmichael
Henry_hart :
Sawa kjana wenu yuko sahih, lakin swal ni je? yeye amehudumikaa, baada ya kuimba vip ataokokaaa?? kama sivyo basi Joel na yeye diamond wote ni wale wale
2026-09-27 21:19:16
7
samelectronic00
Sam electronic :
Kaka atenge jumapili moja aubili🥰
2026-09-27 21:04:53
89
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About