@historical_zanzibar: #pemba #pembalife #zanzibar

Historical Zanzibar
Historical Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 20:02:37 GMT
19997
487
26
65

Music

Download

Comments

wahid.al.maashir
Wahid bin Ladein :
ukizungumzia kiwanja cha pemba ni lazima ujue disco vumbi na kibala bala
2026-09-28 17:25:09
1
therealmusab_
therealmusab_ :
wallah me nakumbuka Kariako Zanzibar ilivokua raha me gari langu sitaki mtu nlikua 😅
2026-09-28 12:02:27
1
albajoun71
Albajoun :
tuliliita funza nilipanda sana tu
2026-09-28 15:44:51
1
user59979387055623
Tawal😘😘 :
sisahau lilivzmik ilo nlikuw umo2008😂😂
2026-09-28 06:12:19
0
ak_don_1972
ak :
kariakoo..?
2026-09-27 20:24:25
2
amko685
Amko :
sehemu gan hiy jamn
2026-09-27 20:55:09
0
heisnader
NADIR 🎭 :
Dah😭🙌🏼
2026-09-28 14:33:13
0
hafidh60
hafidh :
naijuwa hiyo
2026-09-28 16:44:02
0
chaudeko.og
𝒞𝒽𝒶𝓊𝒹ℯ𝓀ℴ🧸 :
mm wa elf 2 ila naijuwa vzr tuu 😁
2026-09-28 15:49:30
0
user4571113519830
user4571113519830 :
dah niliipanda sana utotoni
2026-09-28 06:45:35
0
neera_makeup_artist
neera_makeup artist :
hahahaha utasema sehemu za mazombie mm kila nikienda enzi izo nikitamani ivo vigari na funza vitembee nipande utoto bwana😂
2026-09-28 11:47:49
0
luliluu5
luliluu5 :
Maisha ya zaman yalikuwa raha sana
2026-09-28 09:59:36
1
shaksykiba
Brown 001 :
kariakoo tibirinzi hiy wtoto wa 2000 hawaelew
2026-09-28 09:09:30
1
officialibrahim_1
code 14 kaba2shinde :
hii xx nd ilikua kariakoo lzm.t utaend yaan lzm.uwe mkubwa uwe mdg lzmaa
2026-09-27 21:04:31
1
maay1505__
maay1505__ :
Serikali wanashindwaje maeneo kama haya ya kale kuyaenzi kwa kuyaweka na muonekano mzuri ili vizazi vijavo na wageni kuja kujionea tunu ya vitu vya kale na kuvijengea elimu kabisa ili iwe chanzo cha mapato kupitia njia nyengine
2026-09-27 23:11:13
0
goshmohd06
acha zarau :
zama za disko kibalabala izo na dj sururu 😳😳😳😳😳
2026-09-28 16:28:51
0
asfah85
Asfah :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-28 04:59:12
1
hunniehayfan
huniehayfan👸 :
😁😁😁
2026-09-28 09:36:49
0
mrs_haroungreay_
mrs_haroungreay_ :
😳😳😳
2026-09-28 15:10:52
0
To see more videos from user @historical_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About