Tanzania saiv watu mnamajibu magumu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 06:17:49
1
chima side :
yaani sikuizi unavyokuja ndo unavyopokelewa
2026-09-28 04:32:25
391
VAILETH JULIUS OUTFIM⛸🥋👟🧥🥾 :
hiyo haina come back🤭🤭
2026-09-27 21:03:25
372
Sara :
nikisema Tanzania 🇹🇿 oyee itikeni oyee haya Tanzania oyeee
2026-09-28 03:26:37
176
roslcury25 :
you better watch your back
2026-09-27 20:51:54
159
🦋Shanii🌸 :
hii ndy unavyo taka na taka sasa😂😂😂😂
2026-09-28 04:00:24
44
Gerry :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kwishaaaa kunann ten
2026-09-28 04:41:32
0
Young d355 :
hii inaitwa both team to score [Big LOL][Big LOL][Laugh approved]
2026-09-28 08:32:48
2
↤↤↤↤↤ 2➄➄ⓚι𝐍Ꮆ_0ʘ❶ ↦↦↦↦ :
weee hii kitu nawaza wacha ikae tuu [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-28 06:18:58
1
Celina40♎️🇹🇿 :
Hiyo ni Nipe nikupe 😂
2026-09-27 20:50:12
133
xhebby silasi :
nljua tu wabongo lazima wamjibu hii haina come back walai 🤣🤣🤣
2026-09-28 02:48:18
78
Shadrack Manumba :
inamaana saiv ndo hakuna uoga tena au
2026-09-27 20:53:18
37
Father of faith :
We better watch our small businesses 🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 04:53:01
2
menas :
yani mtu ukiwa stesy ingia tickets zinaisha kunamambo sana
2026-09-28 06:51:24
8
mumykinabo😍 :
Stoku yangu ya elimino imeisha na mvua hazija nyesha Mungu nimwema
2026-09-28 04:11:30
24
Rebecca Beatusi :
viongozi tumieni akili na maneno yenu, kama wewe ulilelewa kwenye maisha mazuri ukasoma ukapata cheo wengne hawakuwahi kusoma kutokana na umasikini, kwahyo tuacheni tu hata tuzekee kwenye biashara ndogo
2026-09-28 03:40:29
21
aisha :
take one and action🤣🤣
2026-09-27 21:02:36
3
Silvia Tarimo :
😂😂😂Tanzania my country.
2026-09-27 21:33:23
2
binty salimu kilavire :
😁😁ukisikia unavyo taka tunataka ndo hii sasa😂😂
2026-09-28 03:29:18
27
mamu :
ila wanakwetu sasahivi wamechachuka
2026-09-27 21:11:25
12
shuu food :
panadol za kenya hizo
2026-09-27 21:13:05
6
sesha💞 :
Hata wazir mkuu kashindwa 😂😂
2026-09-28 05:01:51
6
Baby aines :
kijana kuwa makin Linda mgongo ohooo sikuepo mm[Tears of joy]
2026-09-28 05:56:06
9
Rose :
kenya washa tuambukiza ndugu zao majibu😂😂
2026-09-28 03:45:41
10
mariamu :
hii nchi kuitetea ni ngumu
2026-09-27 21:43:55
6
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm
homepage.