@doni.dee7: Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu ikifika saa sita Mchana anarudi kwenye gari anajifungia anatulia humo mpaka jioni saa 12 jioni ana Washa gari anaondoka. Kwa bahati mbaya hakuna aliye jua huyu dada anatokea wapi mana alikuwa ni sura ngeni na wengi tulikuwa tuna mashaka naye huku tukihisi labda ni usalama wa taifa Kuna jambo anachunguza. Toka hiyo Jumanne ni jumapili tu ndo hakuja ila siku zote zingine alikuwa anakuja anashinda hapo na gari lake ikifika jioni anaondoka. Sasa bwana, Jana gari ilishinda hapo ila ilivyo fika jioni gari haikuondoka, mpaka ikafika saa mbili usiku ikabidi akaitwe Balozi akaja akawa anamgongea Ili afungue, lakini hakufungua, waligonga mpaka nusu saa lakini kimya, ikabidi ipigwe simu polisi, ndo wakaja. Sasa polisi walivyo fika wakaangalia gari haina plate namba, ila siku zingine alizo kuwa ana paki plate namba zilikuwa Zina kuwepo, ila Jana gari ilionekana haina plate namba, polisi ikabidi wajaribu kuvunja kioo, ndo wakamkuta dada wa watu kalala alisha fariki muda sana huku kaacha ujumbe. Inasemekana kuwa, huyu dada nyumbani kwake alikuwa na mdada wa kazi, Sasa yule mdada wa kazi akaja kuomba kuacha kazi arudi kwao, kumbe bwana alikuwa na ujauzito wa mume wa huyu dada, Dada wa kazi hakurudi Kwao baada ya kutoka hapo alipelekwa kupangishiwa nyumba na mume wa huyu dada. Sasa huyu Dada baada ya kujua hilo jambo ndo shida ilianzia hapo, alipitia changamoto nyingi sana, mawazo sana Kupita kiasi na alishindwa kupokea hilo jambo. Kumbe alikuwa akiaga anaenda kazini ila akawa anakuja Kushinda hapo kutokana na msongo wa mawazo alio kuwa akipitia, Dada alikuwa ni muajiriwa wa serikali. Dada ameacha mtoto mmoja wa miaka Saba, mimba inasemekana ziligoma baada ya Kuzaa huyo mtoto mmoja tu. Aisee hii Ime huzunisha watu wengi sana tuliamini ni usalama wa taifa kumbe mtu ana teseka.
Done.dee 7
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 20:51:25 GMT
Music
Download
Comments
SJ🌹🌹 :
tuliosoma hii riwaya mpaka ikaisha tujuane
2026-09-28 09:57:22
526
official simbaa♥️ :
me cna neno jamn😭😭
2026-09-30 05:08:02
0
samwely philimon safisa :
Mmmmmh
2026-09-29 12:57:43
0
Rabiah_31 :
Nasemajeee siwezi kujiuaa kisa mwanaume... ukiona mtu habadiliki unaachana nae jamani plzz plz wanawake wenzangu naomba tujipe namba moja kweny haya maisha tusijikatili kisa mwanaume... ridhiki ikiisha anza upya 😭
2026-09-27 23:40:44
227
Hanipha💕🦋 :
😭😭😭😭jamani nani ana hitaji hizo video nimtumie
2026-09-29 16:37:54
13
user17199512736754 :
Pole dada
2026-09-28 12:51:07
0
@🌸Hawaa🍎🥷🏻 :
Mungu kujiua kisa mwanaume Mungu hapana kipaji hichi nimekikataa Baba
2026-09-28 02:57:02
53
rhoda mtung'e :
Duuuh so sad rest in peace dear
2026-09-28 13:55:43
1
misslavina17 :
Duh so sad
2026-09-29 12:45:26
0
Mayrah Juma :
mbona kunawaliosema alikwatwa mapanga jmn nashindwa kuelewa
2026-09-28 06:39:20
28
Ne-Yo Swax 🌏 :
Video inatisha
2026-09-29 11:55:04
1
🫦zai cute🤍💦 :
Siwez kujiua kuach mtoto wang kwajili ya mwanaume
2026-09-29 12:58:49
11
🦋 SaLMO 🦋 :
nyie me hadi mda huu natetemeka hadi utumbo baaada ya kuangalia zile video
2026-09-29 13:17:01
6
@banda-official🌹🌹 :
mapenz ya adam na eva hayakubalikiw na yesu ndo maan mbka leo changamot za mapenz haziishi
2026-09-28 05:10:21
8
ismaili jr :
daah inauma sana tena sana Dada wa ndani kachiwa zambi kubwa sana😭
2026-09-28 13:52:23
5
lizy🦋💞🌹 :
ila wabongo kwa kujiamulia mambo 🙌🙌 story ya huyu dada kukatwa mapangq na hii ni wap na aapi jmniii mmenishinda tabia wa TZ wenzangu🥺🥺
2026-09-28 08:28:59
15
dayana :
nikiangalia vidio yake nalia du
2026-09-28 06:53:36
5
roboot 03 :
daaaaaaaaaa! Inauma sana jaman
2026-09-27 21:51:38
5
Rashid msonjela :
mungu amlaze maali pema
2026-09-28 04:49:13
5
Mudy khalid :
Tunatakiwa tuwaelewe sana watu ambao wanapenda kua pekeao pekeao na hawapendi malumbano ukijaribu kua karibu nao utajifunza sana sana, Pumzika kwa Amani Sister 🦾🫂
2026-09-28 10:54:58
7
vinasha pk :
imeniuma sana ila mungu amlaze mahali mapema ila tunajifunza kuwa ya kwamba kuwekea jambo moyoni bila shuruhisho hayo ndio matokeo yake
2026-09-28 05:41:21
5
rahma khaji :
nitumiee
2026-09-29 17:40:38
0
Fettyluscious Azizi :
duuh pole sana
2026-09-28 10:56:00
1
mariam amiri :
nataka kuwapa moyo mnao teseka na haya mambo jmn... ugari nimtamu yani wanaume mnashida gn
2026-09-28 21:32:58
1
rukate @.com :
mapenz yanauma San jmn nyie acheni
2026-09-28 19:17:10
1
To see more videos from user @doni.dee7, please go to the Tikwm
homepage.