@alexphilimon2: 🕊️ SIMANZI NA MAJONZI VIMETANDA LAELA… 💔🕯️ Leo, tarehe 27/09/2026, tumemsindikiza katika safari yake ya mwisho Mama Idris Msomar. Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu. 🙏 Mungu ailaze roho ya Mama Idris Msomar mahali pema peponi, na awape wafiwa nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. 🕊️🙏💔