@fordcomtz: 🚀 UNATAKA KUANZA BIASHARA YA KUUZA WI-FI MTAANI KWAKO? Watu wengi wanadhani kuuza Wi-Fi ni mchakato mgumu au wa gharama kubwa sana. Ukweli ni kwamba unahitaji vitu makuu matatu tu ili kuanza kulingana na bajeti yako: 1️⃣ Chanzo cha Mtandao: Router ya Vodacom, Yas, Airtel, Halotel au Fiber. 2️⃣ MikroTik Router: Inasimamia mfumo wa vocha, spidi, na kuzuia wezi wa mtandao. 3️⃣ Access Point (Antena): Inarusha mtandao umbali mrefu kwa ajili ya simu za wateja. 💡 Unahitaji ushauri wa vifaa gani vinakufaa au unataka kutengenezewa mfumo uliokamilika? 📞 Tupigie / WhatsApp: 0658 999 901 ✉️ Barua Pepe: [email protected] 🌐 Fordcom Company Limited – Powering your network #tiktokviral #tiktokkenya #tiktoltanzania