@bmmm.choir.sinza: Kipe marks kigelegele cha Bi harusi wetu @GB 😁😁 Tunakutakia Heri na Baraka tele katika maisha yako mapya ya Ndoa Takatifu @CatholicSongs🎶 @PST MUSIC ACADEMY @𝐂𝐀𝐓𝐇𝐎𝐋𝐈𝐂 𝐋𝐘𝐑𝐈𝐂𝐒 @ST JOHN PAUL II KIBANGU @Mt.sesiliamwenge @Zacharia Gerald @Chang'ombe Kwaya ya Mt.Mikaeli #kwaya #kwayakatoliki #catholictiktok #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿

Bmmm Choir Sinza
Bmmm Choir Sinza
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 21:34:02 GMT
149407
15162
357
431

Music

Download

Comments

user5979268479918
madame v :
nimejaribu kupiga hivyo nimekohoa mpka nimepaliwa na mate yametokea puani😅😅😅😅
2026-09-28 08:37:26
284
yohanarojaskondapia
yohana Rogers🫂 :
sijui kwann misa za harus waumini hawakuwagi wengi🤔🤔
2026-09-28 02:18:10
230
vasadarchy
vasa darchy :
KINA UTUKUFU WA BWANA ICHO KIGEREGERE🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-28 04:30:10
94
joyleen155
joyleen155 :
bila Shaka huyu bi harusi wa Iringa kbsaa😂😂😂
2026-09-27 23:10:27
180
agymrumah
Mama bonge :
Maisha yake ya Ndoa yakawe ya Neema kama kigelegele chake🥰
2026-09-28 08:51:22
33
mrdastz
das001 :
Alafu baada ya wiki unaskia USIENDE TENA KWAYA MIMI MUMEO NIKISEMA NIMESEMA🥹🙌
2026-09-28 01:27:17
113
nancie588
Nancie Ndungu :
her breathe control is top notch. 🥰🥰
2026-09-28 11:56:57
2
bintchupi
pipi,chup jumla💸 :
nimejaribu ivi watu wamekuja na panga
2026-09-28 12:11:01
8
ginah5764
Ginah💜 :
bwana roman Catholic raha 🥰🥰
2026-09-28 09:19:51
1
edinapetro393
dina p🌹🐝 :
au bi harus mwanakwaya jaman
2026-09-28 06:52:54
26
tress5498
Tress :
kapendeza hadi raha ndo maana najivunia kua mkatoliki 😍
2026-09-28 08:32:11
19
user30713681102842
vee baby💞 :
10 over 10
2026-09-28 08:12:19
1
djores0
Dj Ores🌹🎧🤑 :
huyu ni mm kabisa napenda kupiga kigeregere kama icho☺️
2026-09-27 21:50:00
27
ann774562
Ann :
100 percent.
2026-09-28 04:56:50
0
phinerereney
Phiner Ereney :
kwenye harus yang naomb mungu nijalie na mim nisione aibu nikion watu walio hudhuria hawapigi vigelegele vya shangwe nipige mwenyewe
2026-09-28 06:51:36
14
cheboirong
cheboirong🌺 :
gown ❤️❤️🩷
2026-09-28 04:16:29
1
user96800101581747
Henrytz❤️ :
Ni 10/10 minus nothing cloc’k it👌👌🔥❤️
2026-09-28 06:32:16
10
stella.mgoha
Stella mgoha :
kweli katisha jamani kigelegele kimeenda shule🥰
2026-09-28 06:22:05
15
angelanthony31
Mwamlimaangel :
ila bi harusi unajuaaaaa kuimba rahaaaaa
2026-09-28 05:47:13
5
avan_ivy006
avan❤️‍🔥_ivy006.🧚‍♀️🧚‍♀️ :
huy muimb kwayaa🥰🥰🥰
2026-09-28 04:32:54
9
nance571
user2709157394289 :
kigeregere cha mamlaka
2026-09-27 23:45:44
6
user4170311985853
RUSIA🥰🥰 :
nimeangalia na kusikiliza mara 4
2026-09-28 00:25:45
6
prettycharming55
Cᥫ᭡ :
Ni 10/10 minus nothing cloc’k it👌👌🔥
2026-09-27 21:45:32
6
karubakopa5
NYAKI GIRL :
nashindwa cha kuongea Mungu akukumbuke kwenye ndoa yako na usiache kumsifu siku zote za maisha yako🥰
2026-09-28 03:32:51
6
user210374870305
Glorytesha :
kamaliza anajua sana
2026-09-28 07:00:29
3
To see more videos from user @bmmm.choir.sinza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About