wakwangu ananiwahi anasema isiwe maambo ya hela maana sina hapa
2026-09-28 13:14:21
10
Jackson Elias :
sijawai jb mesej kam hiyo namtaftg badae namwamby nlikua busy
2026-09-28 11:34:58
6
❤️🩹IT'S LOVE 💥💖 :
me wakwang ukimwamby hvy anazima cm kwanza anavuta pumz alaf nd akujib namby 😂😂😂
2026-09-28 14:20:48
12
lameck :
bora uyo anajibu kwa shida Kuna sisi hatujibu kabisaa
2026-09-28 07:31:35
12
Chidy :
mm alinitumia hiyo sms sikumjibu na yeye akakausha kimya baada ya miezi miwili nikamtafuta nikamwambia nilipoteza simu akanambia sasa namba yangu umeipataje na kama simu ulipoteza lazima ipote na lain ya simu nikamwambia wakati simu inapotea nilifanikiwa ukitoa akacheka sana 🤣🤣🤣🤣 akasema hujuwi hata kujitetea ila umenifurahisha ulivosema ety ulifanikiwa kuitoa laini kisha akaniambia lakini nimeshajifunza sitojaribu tena kukwambia hilo neno ( NIKUOMBE KITU ) maana unaweza kupotea tena hata miaka miwili na mm sitaki tena nikupoteze ukawa mbali na mm nikamwambia hamna mama mtu mm nikiwa nacho nitakupa lakini si unajuw bado najitafuta afadhali ww una kazi yako akaniambia usijal nafahamu hilo tutasaidiana maana hata ww umekuwa msaada kwangu kabla ya kupata kazi anasema ni vile tu namisi buku yako ya vocha hata kama mm nalipwa mshara mwisho wa mwezi ila namisigi buku buku zako za vocha ila Wanawake bwan 😂😂😂 story yangu imeishia hapo Asanteni kwa aliesoma mpaka mwisho😁🥰 mni follow sasa 🙃
2026-09-28 17:53:21
6
GADAFI. 232 :
Me akinimbia ivo huwa namjibu usiku sana saa 6 saa 7
2026-09-28 10:08:06
1
MAY ME :
MIMI WANGU UKIMTUMIA IVYO KAMA AJAIYONA AJIBU KABISA
2026-09-28 18:35:32
0
chacha mkami :
me najib lakn kwa was was
2026-09-28 10:34:50
1
Erick Abraam :
hahaahah daah m nakwambia nitakuchek
2026-09-28 08:18:30
1
Kombo Point✅ :
Wewe Tena 🫣
2026-09-28 06:35:23
1
Mwajuma BwanaAlly :
Sada hamtaki kuombwa hela jamanii au
2026-09-28 17:10:39
0
shamy🦋 :
wangu ndo hareply ataondosha mpk last seen
2026-09-28 15:20:50
1
@davi47 :
m UWA sijibu kabisaaa😂😂😂😂
2026-09-28 18:36:17
1
Mbeumo :
Sijawahipo kutumiwa message kama hio au Mimi ndio sipendwi?😁😁😁😁
2026-09-28 14:57:57
2
lonely¿ :
tukifikaga apo nasemaga baadae Niko busy
2026-09-28 10:27:40
2
Ejm-_-696..🌻🇹🇿 :
Hii sms ilinikutaga ndo naanza kula nikaacha kula Mama kaniambia mbn umeacha kula au hujapenda pilau ambayo haina nyama mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 17:58:27
2
victor kamaghe :
me nazimaga cm 🤣🤣🤣
2026-09-28 07:15:03
1
Mama B💞 :
kuna wengine wanazima na cm kabsa
2026-09-28 09:05:31
2
To see more videos from user @dogo.mchunguzz, please go to the Tikwm
homepage.