tupo kwa muda allah amhifadhi insha allah [Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-09-28 00:13:27
0
BAJUUN BAISSODAN :
innalilah wainah lajiuun 😭😭
2026-09-27 23:04:25
0
G bin walid :
saiv ndio nimeamini
2026-09-27 22:22:01
5
med.boy97 :
Allah amlaze pahali pema pepon inshallah🙏🙏🙏
2026-09-27 23:55:25
0
side boy :
daaaah me mnyama lakin nampenda sana ailaze roho ya Babu yetu mahalla pema pepon
2026-09-27 22:45:56
4
swaumu mashaka :
Innalilah wainailah rajiun allah ampe kauli thabit
2026-09-27 22:35:49
6
AS-HAABULKHAYRFOUNDATION :
kwake ndio tumetoka na kwake ndio tutarejea, tukumbuke kifo ndugu zangu!.
2026-09-27 22:26:34
4
Nepa Kindenya :
Kila nafsi itaonja umauti
2026-09-27 22:21:57
3
A :
poleni
2026-09-28 00:04:16
0
tu we nanai :
Innalilah wainna ilah rajiuni mungu ailaze roho yamarehem maalipema peponi Amin pole ni sn wapendwa wangu
2026-09-27 22:32:14
2
Mr Yohana og 🥷 :
Rest in peace
2026-09-27 22:14:06
0
phd man love95 :
inalilah wainailahi lajiun
2026-09-27 22:34:46
3
Ally Husseni :
Simba bingwa
2026-09-27 23:28:25
1
shifleee :
daah siopoa🙏🙏
2026-09-27 23:57:43
1
Muu Jr :
umeambiwa dua unasoma qur,an al,muhim sasa wambie kua dunia ni stareh yenye kupita na kila nafsi itaonja umauti ndo maana ya hiyo haya. ivo bc tumrudie mola wetu. funzo kwa uyo mzee mpk umri wake unaisha yupo kwenye mipira vijana tuchukue somo. ila pamoja na yote Allah ampe kauli thabiti mzee mpili . innalillah wainna ilay rajiun, sote ni wa Allah nakwake tutarejea.
2026-09-27 22:38:27
1
🥀 Eunice 🥀💝 :
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike Kwa aman 🙏🙏🙏🙏
2026-09-27 23:18:25
1
M@m@ D :
jagwani tumepoteza mzee marufuu mzee muhimu sana mzee wamana kabisa jmn mungu huyo pumzik kwaamani babu nas tupo nyuma yako
2026-09-27 22:32:22
2
MICKY MSUKUMA :
Apumzike kwa Amani🙏🙏🙏
2026-09-27 22:31:45
1
@mr_haonga 💎 :
sasa hivi wanakufa vijana wadogo kabisa 😒
2026-09-27 23:01:21
1
الحج حسن صالح :
ان الله وإن اليه راجعون
2026-09-27 22:01:35
1
KALASHA PUTIN :
Inah ililah waina Lilah lajiun
2026-09-27 22:36:02
1
To see more videos from user @fumau_bin_mjeje, please go to the Tikwm
homepage.