@kanikibrown: Hii ni moja ya maneno aliyowahi kuyasema marehemu mzee mpili alikuwa mcha Mungu na mwenye kumtambua na Kumuheshimu Mwenyezi Mungu 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia
Kaniki Brown
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 22:05:17 GMT
Music
Download
Comments
chum @baegal :
tumswaliee mtume Muhammed s.a.w
2026-09-28 06:14:33
1
Jackline Mangi :
rest in peace
2026-09-28 01:38:43
0
Silva :
mbeleyake nyuma yetu apumzke kwa aman
2026-09-27 23:22:47
13
Modrik Kandoro :
mung akutnguliy
2026-09-28 03:01:52
2
Haruna :
Allah ampunguzie adhabu ya kabur
2026-09-28 03:02:19
3
kisui jr :
😭😭😭😭😭😭😭 mungu amlaze maali pem peponi
2026-09-28 02:56:07
2
Agogo Jr :
Hili sio swali la kumuuliza mzee wetu 😢
2026-09-28 03:56:55
1
Kelvin Laurian :
polen sana watanzania Kwa kumpoteza mzee wetu na pia polen watani wetu
2026-09-27 23:41:40
3
Ruben Ruben :
😭😭
2026-09-28 04:32:19
0
zahra ally ♥️ :
mung amlaz mahal pema pepon 🙏🙏🙏😭😭😭
2026-09-28 03:59:33
0
ismaili :
🤲🙏⚘️
2026-09-27 22:54:13
1
Mussa Hamisi :
mtume ndy kila kitu kwenye maisha
2026-09-28 05:21:32
0
Iddy pakistan :
kafa lini
2026-09-28 04:57:15
0
THE SEN MEDIA :
Innalillahi wainnailayhi rajiuun
2026-09-28 04:06:12
0
jeremiah :
uyu shee alikua akiuliza swali gani hilo mbona majalibu
2026-09-28 04:37:33
0
Cholo Maulid :
ivi kweri jamani mzee wetu katangulia mbele ya haki mbn sielew elewi
2026-09-28 04:00:05
0
🇹🇿🇹🇿YASPER🇨🇮🇨🇮 :
2026-09-28 03:21:38
0
soud haji :
tuwe pole waislam kwa kuondejewa na mzee wetu na polen sana watan wetu allah agjpe subra na amjaaliee mzee wet kaul thabit,
2026-09-28 03:15:31
0
@Mamu🍂Hssn :
Masha Allah Mungu ampokee insha Allah ❤️
2026-09-28 03:46:38
0
Salama :
allah amjaaliye aweni moja ya watu watakao igia peponi
2026-09-28 03:34:53
0
dutch ashery :
Allah mlaze mahal pema peponi mzee wetu ameen
2026-09-28 06:16:26
1
SWASS KIDDY :
mashalaah
2026-09-28 03:46:48
0
Toure star :
S A W
2026-09-27 22:09:41
0
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.