@sazorganicss: Shabu Inasaidia kudhibiti harufu ya kwapa bila perfume kali wala hali ya kunata Jinsi ya kutumia: Baada ya kuoga, paka kwenye kwapa lenye unyevu kidogo Tumia kila siku Bei Elfu 3.5k #tanzaniatiktok🇹🇿 #zanzibartiktok🇹🇿 #deoderant #trendingvideo