@bashasha_tv: Ucheshi wa Mzee Mpili utaendelea kukumbukwa na familia, ndugu, marafiki pamoja na familia ya Yanga kutokana na nafasi aliyokuwa nayo miongoni mwa wanachama na wapenzi wa klabu hiyo. Katika kipindi hiki cha maombolezo Kitu gani huwezi kukisahau kutoka kwa Mzee Mpili? #bashashatvupdates #bashashadigital #bashashamedia