@pastor_alice: 1. Kutoka 33:14 “Uwepo wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.” 2. Zaburi 16:11 “Utanijulisha njia ya uzima; mbele za uso wako kuna furaha tele; na katika mkono wako wa kuume mna mema ya milele.” 3. Zaburi 23:4 “Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana Wewe upo pamoja nami.” 4. Zaburi 46:1 “Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.” 5. Zaburi 91:1–2 “Aketiye mahali pa siri pake Aliye Juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.” 6. Isaya 41:10 “Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, maana mimi ni Mungu wako.” 7. Yoshua 1:9 “Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; maana Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.” 8. Kumbukumbu la Torati 31:8 “Bwana ndiye atakayekwenda mbele yako; yeye atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.” 9. Mathayo 28:20 “Na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.” 10. Zaburi 139:7–10 “Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako?” 11. Hagai 2:4 “Lakini sasa uwe hodari... maana mimi ni pamoja nanyi, asema Bwana wa majeshi.” 12. Sefania 3:17 “Bwana, Mungu wako, yuko kati yako; shujaa awezaye kuokoa.”
Pastor Alice
Region: TZ
Monday 28 September 2026 04:31:20 GMT
Music
Download
Comments
Adelina Bukuku :
Amina sana
2026-11-04 11:29:11
0
binti.sayuni03 :
Amina Amina
2026-11-04 07:51:31
0
Sensational Woman 🇰🇪🇮🇪 :
Amina katika Jina la Yesu Kristo
2026-09-28 07:34:39
2
filolisa :
AMEENI🙏
2026-10-29 15:22:45
0
Tinah James :
asante sana mungu akubariki🙏🙏
2026-09-29 01:15:02
1
Merry Adeni :
amen 🙏🙏🙏
2026-10-26 08:56:06
0
Happy@given❤🤍 :
Ameni 🙏
2026-09-29 12:43:32
1
Raiyyan George :
amen
2026-11-11 18:46:08
0
Gs@nsia :
Amen
2026-11-12 13:48:58
0
Esther Malilo :
amen 🙏
2026-11-07 04:49:24
0
magdady :
amen
2026-11-11 15:47:48
0
king follo :
Amina
2026-10-29 22:37:17
0
mavinbeautsaloon :
amen
2026-11-10 19:00:14
0
user6294620465710 :
Amen
2026-11-04 10:06:17
0
Reine :
Amen 🙌
2026-10-26 10:17:08
0
Adventina Nanzalius :
Amen amen
2026-10-27 05:10:19
0
Jackie Michael :
Amen
2026-10-28 14:22:38
0
Butter :
Amen
2026-09-28 06:13:31
0
Naomi Alex🌸🖤 :
🙏
2026-11-14 14:17:49
0
ray bronzo ❤️❤️ :
Ameeen 🙌🙌
2026-10-07 14:29:51
0
lxlnca :
Amen 🙏🏾
2026-10-21 11:02:30
0
lostanguvila1 :
amen
2026-10-12 09:11:33
0
user83751980122 :
Amen Amen Amen
2026-10-21 18:06:24
0
Lizzy 🥰🥰 :
Amen 🙏
2026-10-08 05:10:24
0
queen b😘 :
ameen
2026-09-28 10:03:34
0
To see more videos from user @pastor_alice, please go to the Tikwm
homepage.