hahahaah nilijua ni mimi tu niliyewah kurudishiwa wakati ameshaivaaa
2026-10-05 12:46:58
0
A. Mowo :
Naulizia online class?
2026-10-01 19:34:57
0
RIDIA 💞 :
nahitaj kujifunz kaka
2026-10-01 09:15:25
1
Rehema :
mfano unashona guo 35000 inafaa atagulize gap
2026-09-30 16:36:49
0
wivine :
Amené
2026-10-02 11:09:32
0
💘Neema💝 :
hiyo Nguo yeye achukuwe tuu Hila akikisha hiyo nguo unaifanyia kazi yaani alipe zahidi ya apo kukusumbuwa ajute Tena ajute haswa
2026-09-29 07:59:29
1
Jj fation :
duu! mm wanakuja au wanaomba upunguze bei afu ukipunguza pia anakupa kishwahili ukimpa umeishaaaaa
2026-09-29 10:44:07
0
Neema James :
hata nim yaliisha nitokea
2026-09-29 20:12:42
0
fatumahussein74 :
Mimi yashanikuta nashukuru kw mafunzo
2026-09-30 15:18:10
0
deras☑️ :
100/100
2026-09-29 14:06:06
0
Fatma abdulrahman :
nimefunga duka langu,nilikuwa nashona ready to wear na tusubiri wateja nalipa frem umeme ulinzi na TRA.kuna baadhi ya wateja wazuri sana wanalipa vzuri sana sana lakini hawa pia kaa nao kwa makini hawa ndio walinifanya nifunge duka wanakopa kulipa mtihani atarudi na cash ili anunue na anahimiza kuna sherehe na lile deni nakumbuka lakini sio leo malipo...😂
kwa Sasa nauza vitu vyangu vyote vya dukani mwenye kutaka tafadhali tuwasiliane
2026-09-29 05:57:43
0
MGOGO IRINGA :
alisema ana ela afu ndo sale nikampa akaludisha nguo kusema akipata pesa ataifata. ikaibiwa saiv nadaiwa 😭
2026-10-03 08:13:14
0
Da tele cake&bite :
nimejifunza
2026-09-28 08:36:54
0
Revocatus Chamba :
kwakweli ni jambo linaloumiza weng
2026-10-22 04:57:54
0
njako :
unatusaidiaje na sisi tunaotaka kuw kama ww
2026-09-30 09:54:39
0
merina George :
ww kaka Mungu akubaliki unanifanya nivuke viwango
2026-10-31 04:18:57
0
hekimamwalusako :
asante sana kaka
2026-11-07 12:08:50
0
user9959461861161 :
pore
2026-10-01 08:36:34
0
tumasanga675 :
Mimi Huwa naludisha vitambaa vilivyo kaaa mda mlefu pia nguo nakupa uta jua wewe kama uta nipa au huto nipa ni uamuzi wako kukaaa na nguo mda mlefu Ina Kela
kingine una tunza kitambaaa mda mlefu kimya akupe yeye sasa ela ya vifaaa uta Kuta kila siku ata uliza ana sahau kama Ali kuachia vitambaa ume vitunza
2026-10-22 06:41:58
0
baby 🤱 :
🙏🙏🙏
2026-09-28 17:03:47
0
To see more videos from user @pci_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.