nuru gan hapo jmn hakuna mtu anajua moyo wa mtu kanisani tunaenda kwa kujificha tu acha Mungu ahukumu mwenyewe
2026-10-01 13:11:31
0
Official Dee Tz :
Mchungaji diamond platinumz 😂😂😂
2026-09-28 05:29:48
56
mariel G🥰😋 :
tuongee ukwel tyu ban daimond sometimes nimtu wamaan kinoma🥰
2026-09-28 13:21:12
50
lettymwaky :
Naseeb Mwamposa🙏🙏
2026-09-28 19:15:30
7
babylee💞💞 :
Sijui kwann?ila nimefurahi sanaa🥰😁🙏🙏
2026-09-28 10:36:15
24
aliethcute :
chat gpt imefanya yake
2026-09-28 16:43:37
3
livingstone :
live broo
2026-09-28 16:17:18
2
Msouth Og10 :
BWANA YESU ASIFIWE WAKRISTU
2026-09-30 07:21:12
2
KIWA THE SUN :
nakubar sana mtumishi toa madini
2026-09-28 17:34:00
5
PRESENCE NIFER💕 :
kusoma biblia siku moja moja si
mbaya 🤗🤗🤗
2026-09-29 08:04:37
4
Irene Maganga :
uwiiii acheni basi😂😂
2026-09-28 17:09:35
3
Shabby Mfaume :
iyoooo leoooo iyoooooo😳😳😳😳
2026-09-29 13:53:03
1
selinaeliabu :
siku za mwishoo Zina kuja wapedwa tuokoke
2026-09-29 11:27:58
1
Dkt Michael ☆♧☆♧☆♧ :
wassafi church ⛪️kutakuwa na mukutano mkubwa wa injili tarehe 7.10.2026 ukiongozwa na mchungaji diamond platinum katika viwanja vya kigamboni
2026-09-28 12:07:00
7
Davido official :
ningekua Mimi ningetoa Ngoma nyingine na joeli
2026-09-28 12:27:43
3
msilu Tz :
anafa kuwa mchungaji
2026-09-28 18:06:04
2
Saviour Hadnesty C.E.O :
Injili inezen kwa mataifa wakati ndo huu sasa
2026-09-28 08:30:47
3
never give up :
kwa kila hali lazima neno la MUNGU lifike
2026-09-28 19:53:06
2
mrevengerz 1989 :
fungua kanisa tuziponde huku tuna nyonga
2026-09-29 12:03:48
1
#Idann☠️🥇🪙🔥🙏 :
❤️❤️tupe nyimbo nyingine piya ssi wote ni wamoja 🙏🙏❤️❤️
2026-09-28 10:06:15
3
Boss lyimo 🤘 :
duuuuu leoo diamond anatoaa neno hii kali aiseee🤣 ni balaaaa akisoma tena bibliaa niko pale
2026-09-28 17:42:39
3
jayline quick :
nyakati hizo injili itahubiliwa Kila mahali
2026-09-28 06:07:41
3
truebo19 :
MATHAYO 5;8 HERI WENYE MOYO SAFI MAANA HAO NDIO WATAMUONA MUNGU .bado wahumini wanapinga eti joel lwaga kakosea hapo washaunganisha kuwa mungu ni mmoja2 utofauti wa Dini au sanaa isiperekee kufarakanisha haya mambo bible hiyo inasomwa mondi ana iman mengine ni ya dunia tyu
2026-09-28 16:49:18
3
luhende King :
haya Sasa saivi tuna pastor diamond platinum 🥰🥰
2026-09-28 18:42:57
1
To see more videos from user @jayzoba, please go to the Tikwm
homepage.