@youzle_maker: Tusiikurubie zinaa hakika ni katika njia mbaya na chafu #islamic_video_الله_حسبنا😢☝️🤲❤️💕🕋 #fyp #viral #muslimtiktok #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿
Yaa Maalikul mulk mjaalie sheikh wetu kaburi lake liwe miongoni mwa mabustani ya peponi Ameen thumma Amin ❣️❣️💯
2026-09-28 09:07:41
2
Yuxto khan🦺🦺🦺 :
Walaataqrab zinaaa
2026-09-28 08:05:57
3
Sulaya Aisha :
Allah akbar
2026-09-28 06:59:06
4
TheRealBara2 :
mungu akuweke mahali pema
2026-09-28 06:43:57
2
Juma Ramadhan :
@🥰
2026-09-28 10:16:13
1
zuberi :
🙏🙏👊
2026-09-28 12:20:45
1
Bamidu Kuzilo :
zinaa aisee
2026-09-28 07:50:04
1
Aminah KB :
allàh akbar
2026-09-28 14:20:32
0
Feisal Salum :
Allah atuepushe
2026-09-28 06:46:38
2
Setembo the boy :
Astaghafirullah ya Allah tuswamehe madhambi yetu🤲🤲🤲🤲
2026-09-28 10:52:21
2
Joseph Kilonzo :
later
2026-09-28 12:52:49
0
Is haka Faki :
Allh atuwepushe amini
2026-09-28 11:55:28
0
chidmajid :
Allah akbar
2026-09-28 13:26:14
1
zuleha :
kweri
2026-09-28 12:08:56
0
Maranga dascri :
Allah akbar
2026-09-28 08:09:58
1
#Hustler 507# :
Allah akbar
2026-09-28 05:19:50
2
@114🍭 :
Allah atuongoze dah
2026-09-28 10:20:51
0
Khalid bin walid :
sheikh Kuna baadhi ya vijana wanashindwa kujizuia walai Kwa sababu ndoa sai ni garama na atuna kazi japo Mungu ndo anatoana rizki lakini babamkwe upenda watu wenye mali na kina sisi atuna kitu. Allah atufanyie wepesi sisi vijana wa kiislam tuoe
2026-09-28 08:44:44
0
Nurat sweetcake and bites :
astaghifirullah
2026-09-28 14:32:21
0
HUSSE :
Sheikh, unaweza ukawa unaongea na mtu na malengo yako yakawa ni kumjua, kuelewana naye na kujua tabia zake, hasa kama una nia ya ndoa. Sio kwamba kila unapoongea na mtu basi nia yako ni kufanya zinaa naye. Unaweza kuwa na nia nzuri ya kutaka kumjua kwa ajili ya ndoa, lakini bado ukahakikisha maongezi yenyewe yanabaki ndani ya mipaka ya dini.. SHUKRAN 🥰🙏
2026-09-28 10:06:10
1
Dullah Power 47 💪💪👆👆 :
Allah atujalie mwisho mwemah 🙏🙏🙏
2026-09-28 09:17:25
0
🍒🖇️ Qalbie 🫀❤️!, :
🥹 Au'dhubillah mindhaalik
2026-09-28 08:39:55
0
@@bostoni mulungu 099745422@@@ :
🥰🥰🥰
2026-09-28 05:02:57
1
To see more videos from user @youzle_maker, please go to the Tikwm
homepage.