@hamasikatv: Watu wanaogopa kuishi kwa sababu wana maisha fulani wanayoyataka vichwani ambayo hayaendani na uhalisia - @cosmassmadulu Sehemu ya pili ya Hamasika Podcast na Mwalimu @cosmassmadulu tayari ipo YouTube Search Hamasika Tv #Hamasikapodcast #hamasiktv #badilishamchezo
Hamasika Tv
Region: TZ
Monday 28 September 2026 05:09:50 GMT
Music
Download
Comments
sweetie❣️ :
heeh[Tears of joy] mkomao C niko hapa
2026-09-28 12:03:40
0
Hamasika Tv :
Video ndefu ipo YouTube search Hamasika Tv
2026-09-28 11:49:23
0
BRIGHTNESS 🌞 :
Namueleawaga sanaa huyu baba[Perfect score][Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-09-28 08:30:30
1
G.32 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mkomaoo
2026-09-28 10:06:11
1
Zy 💕 :
[Tears of joy][Tears of joy]Eeh jmn
2026-09-28 09:02:14
5
jiyah tailor :
Kadri sku znavyoenda najkuta spend kuolewa 😁😁😁sjui n pepo
2026-09-28 07:14:16
82
Ngogo Daughter🥰 :
Wacha tukomae bhana😂😂😂
2026-09-28 10:34:39
0
Nasra Shilla :
Tutolee makelele bwanaa
2026-09-28 11:55:19
9
Miss Zuuh :
Ni bora kuchelewa kufika kuliko kufika bila malengo🙌
2026-09-28 08:55:31
73
Emmy :
Mimi nina 40 na mchumba wng ana 50 hiyo inaitwaje?? Unaongelea maisha ya zaman au ya sasa😂😂
2026-09-28 06:04:14
19
ISHI HOMANGE= 0764589206 :
sio kuchelewa tu hatuowi hatutaki usumbufu
2026-09-28 06:41:27
17
Jackline Kiwali :
Amefanya na coy mzungu
2026-09-28 07:02:54
19
Tikadeli store :
Ila mkomaa A”&B😂😂
2026-09-28 07:06:10
7
pin🍓 :
mkomao B nakuhitaji please
2026-09-28 08:12:09
6
Emmy 😘 :
wajuaji ni wengi jaman kila mtu na yake khaa
2026-09-28 10:25:40
7
TeeMeela🌹🦋 :
Mzee utukome usiharibu mahusiano yetu😂😂😂😂 hakuna cha bond wala nn
2026-09-28 11:06:20
5
its_trecy :
Ngoja nitafte mkomao wangu Mjoja sasa 😂😂
2026-09-28 07:17:28
7
🎁💝Bella💖💍💗 :
wewe co MUNGU afu watu wamika 40 wanazaa wakiume MUNGU pekee ndiye mwamzi wamwisho🙏
2026-09-28 09:10:23
5
momodavid20 :
MKOMAO MWENZANGU UPO WAPI 😂😂😂
2026-09-28 07:54:06
5
hadassah☺️ :
mtuache kwani mnaumia nini 😂sisi mikomao mbona hatuna shida
2026-09-28 07:33:21
5
mom hilda :
Ni mwanaume ndio sex determinant.... Yaaani ndie anaesababisha mtoto azaliwe wa kike au wa kiume.... Huu ni uongo
2026-09-28 10:40:10
5
Golden Silver :
Wajuaji ni wengi huku mtandaani ishini maisha yenu😏 Mungu ndo anapanga yote Maisha ya zamani ni tofauti na sasa
2026-09-28 14:16:32
2
@lucy Julius Mrema@ :
Mm ndio mkomao wenyew ss🤣🤣🤣
2026-09-28 11:38:50
0
tiffah_official💕🥀 :
na miaka 29 sijaolewa mm ni nani😳😳😳😂😂
2026-09-28 12:23:08
0
culatecollection :
Hiyo science nimeshindwa kuilewa kwamba mwanamke akikomaa hawezi kuzaa mtoto wa kiume???
2026-09-28 08:23:35
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.