@giraffe_helen94:

giraffe_helen94
giraffe_helen94
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 05:11:40 GMT
79797
1199
200
88

Music

Download

Comments

officiallion2
official 🤘lion 🦁🏆 :
karibuni nchini mwanza[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 12:03:37
1
raisiwamwanza01
Raisi wa mwanza :
Bora nihame Tanzania niende zangu Katoro😭😭😭 hii sio haki
2026-09-28 11:34:21
7
janjasuka3
Janjasuka :
Usha wahi kuona mchana usiku😅😅😅
2026-09-28 07:41:07
6
gray.title0
Gray :
kwakweli c tunatokea bala LA kagera tunamshukulu mungu
2026-09-30 13:39:01
1
flistamsuva
felista msuva :
Tanzania ni Chanel ya vituko duniani kote
2026-09-28 08:22:17
5
user8192375046136
amanda g :
WAHEHE tumeingiaje apo?????
2026-09-28 14:44:10
4
luniligele124
luniligele124 :
kwani huyo ni mke wanani? mbona sis hatumjui au niwa kenya siyo tanzania
2026-09-28 08:41:09
5
beatrice.sayi.mug
bea girl :
nani alisema anaanza kwa comment section😁😂😂kweri wakuuu
2026-09-28 08:04:05
7
mwanahawa.haji5
Mwanahawa Haji :
samia mwenyewe anasemaje kuhusu ivo koment
2026-09-28 11:26:01
2
joanestheobard4
muhaya wa bukoba :
sio watranzania ni wasukuma
2026-09-28 14:06:28
2
dorry0166
dorry01🫆 :
Mi simo
2026-09-28 10:22:49
1
user4609691674813
Masoud Masoud :
daaaaah 😆😆😆😆 hahahahaha noma sana
2026-09-28 18:19:54
2
badiakilugalagisi
Badia fikra chanya :
mmmh kama tunagawana wote hapo nalipa ila kama za.kujengea shule mmmh hapo tutauana
2026-09-28 09:17:02
2
linusjonh
Linus Jonh :
mm Niko dodoma ilasipo tanzania Niko dodoma SGR
2026-09-28 09:40:19
2
rebbykida
rebbykida :
sisi inchi yetu ya mwanza haijawahi kukopa
2026-09-30 14:27:53
0
ramamnyukwa
mnyukwa :
uzuri mm chadema
2026-09-28 19:40:08
1
hekatvheka
heka tv Heka :
nilienda bank kukopa 500000 nikambiwa nipeleke hati ya nyumba Sasa nyie serikali mlipeleka Nini kukopa tillioni 91
2026-09-28 09:15:35
1
petiwakushaini
its pet divoce :
nashindwa kuelewa kwahiyo namimi nina deni🤣🤣🤣
2026-09-28 15:04:30
1
martin.a.57
SUWETO《ML50》 :
Niache nachanganyikiwa mjukuu wangu yeah 🤣🤣🤣🤣
2026-09-28 18:37:09
1
adm.shemdoe
Adm Shemdoe :
mbona mm sijapata jamani
2026-09-28 08:05:08
3
magreth.juma81
magrethjuma71 :
na mimi ni msukuma sio mtanzania sawa gete
2026-09-28 12:59:02
3
ni.neema.ya.mungu5
P❤️s :
maisha yangu yeneyw mkopo 🥹🥹🥹
2026-09-28 11:38:25
2
r.p.jmobile
𝐍𝐲𝐚𝐧𝐝𝐚 𝐩𝐞𝐧𝐝𝐨⚡✨ :
Bora mi niko zangu kigoma siko Tanzania Asante babaaa
2026-09-28 17:33:05
2
user7683946110508
Lateef :
kwakwer mie silipi ata iweje😂😂😂
2026-09-28 06:45:47
3
zulfa.angerousi
Zuuh🦋💕 :
bola mm niko zangu kigoma sipo Tz😅😅sidaiwi
2026-09-28 21:19:16
2
To see more videos from user @giraffe_helen94, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About