@taimediatz: #HABARI Msanii @DiamondPlatnumz azua mjadala baada ya kuonekana akisoma mistari ya Biblia kutoka kitabu cha Luka 5:31–32, licha ya kujulikana kuwa ni Muislamu. Tukio hilo limetokea katika Usiku wa “Nikumbuke”, ambapo mtumishi wa Mungu @joellwaga anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kushirikiana na watu wenye mahitaji maalum katika hafla inayofanyika Superdome, Masaki. @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz
taimediatz
Region: TZ
Monday 28 September 2026 05:11:46 GMT
Music
Download
Comments
angelsilyvester :
my paster mondi hallelujah
2026-09-29 19:23:45
0
Happynessmbalo :
Kila ulimi utakili kua yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yetu
2026-09-28 17:19:45
229
Halima 💞💞 :
ameniiiiiiii diamond
2026-09-30 04:40:55
0
G,peace@ tanga tz :
good bloo
2026-09-29 18:17:37
0
Hangaza Queen🥰 :
Ukute Mungu Alikua Akimsubiri Mondi Aokoke Sasa Wekeni Njia Zenu Sawa Yesu Anakuja
2026-09-28 14:31:29
62
Mrs mzelule 😁💓 :
Diamond anajua kuhubiri kuliko hata watu wanao enda kanisan kila siku
2026-09-28 16:56:26
48
stella :
uko sahihi kabisa na ukisoma matayo 7:1 inasema msihukumu msije mkahukumiwa so mwenyekujua kama wewe ni mdhambi ni Mungu tu
2026-09-29 07:05:58
11
Dee :
mungu ni mmoja tuu!
2026-09-28 14:00:48
14
2yspyce _og :
ongeza na MATHAYO 7:1 -3 inasema ,MSIHUKUMU MSIJE MKAHUKUMIWA,KWAKUWA HUKUMU ILE UHUKUMUYO NDIYO MYAKAYO HUKUMIWA,NAKIPIMO KILE MPIMACHO NDICHO MTAKACHO PIMIWA
2026-09-29 15:49:15
8
vath..J :
Hizi ni nguvu za JOELY LWAGA katika huduma yake ya uimbaji amefanya uinjilisti kwa njia ya uimbaji ...oooh hallelujah 🙌
2026-09-29 07:00:16
8
❤️ Aliyah 😍 :
Yesu alikuja kutuokowa wenye Zambi Bali hakuja kuokow wema hakuna mwema hata mmja ninani ambae hana dhambi anyoshe mkono
2026-09-28 12:44:18
9
Cute jackrine :
asnte broo
2026-09-28 15:03:54
5
Madam Laizer :
nuru n giza havichangamani biblia inasema Mungu nhaskilz maombi ya mwenye dhambi how about sifa anazpokea hz sifa kwel,ukwel unbk kwmb joel amekoseaa
2026-09-29 13:55:50
3
Rich Daughter :
Ninachompendaga mjomba Simba anajua namna ya kujibu wa Tz tena vizuri kabisa na dozi ikawaingia na wakaelewa
2026-09-28 19:21:33
6
mwana26🥰 :
amen Kila ulimi utakili kuwa yesu ni bwana
2026-09-29 09:04:57
15
josephinejosepha3 :
Kila goti litapiga nimefrah diamond anavyosoma😆😆😆
2026-09-28 18:46:19
6
Sanga123! :
dogo nakuelewaga sana Baba Tiffa
2026-09-28 18:24:42
6
Filmon :
Kweli Yesu Yu karibu kurudi
2026-09-28 08:00:18
8
Dada mkubwa ♥️💕 :
Anavyo pangilia mistari mpaka kanishinda mwenye ukristo wangu💕
2026-09-28 19:07:40
5
Boniphas D Uyoa Dinu :
mtumishi diamond
2026-09-29 13:51:57
1
Uzima milele :
wether the name of Jesus is being mentioned in good or in bad intentions,so long as Christ is being preached. Hallelujah!!!!
2026-09-29 10:01:35
2
liliani kalson :
yakaisar tumpe nayamungu niyamungu
2026-09-29 12:05:33
1
D cute :
Ni kweli yesu alikuja kuwaokoa wenye dhambi na siyo wenye haki mi sijawai kuhukumu mtu jmn nakupend Bro nasibu
2026-09-29 07:47:15
5
Elisi🥰 :
Amina kaka angu nakupenda nataman siku Moja tuingie wote paradiso
2026-09-29 02:39:01
4
Yasinta Eustus💫 :
Kwa namna yoyote injiri ya YESU itahubiliwa.
2026-09-28 21:31:02
2
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.