@alphamedcare: 1️⃣.Karoti: Ina Beta-carotene inayolinda seli za ini zisiharibiwe na virusi na husaidia kuondoa mafuta yasiyotakiwa kwenye ini. 2️⃣.Beetroot (Beeti): Ndani yake kuna Betaine inayochochea ini kutoa sumu mwilini kwa haraka na kuzuia ini lisivimbe. 3️⃣.Tufaa (Apple): Lina Pectin inayofanya kazi kama fagio; inazoa sumu kwenye mfumo wa damu ili kupunguzia ini mzigo wa kazi. 4️⃣.Tangawizi: Gingerol ni moja kati ya kiambata kinachopunguza uvimbe na maumivu kwenye ini linaloshambuliwa na virusi vya homa ya ini. Mchanganyiko huu wenye nguvu ni kama ngao na fagio kwa ini lako. Unasaidia kusafisha sumu, kupunguza uvimbe unaotokana na virusi, na kulinda seli za ini ili liendelee kufanya kazi vizuri. #HealthyTips #ForYourPage #TrendingVideo #kenyantiktok #tanzaniatiktok