uwezi ukawa hip hop arafu ujawaskiliza tamaduni music chini ya prodyuza duke tachez inosent mujwauki hemed ngwesa 🔥🔥🔥🔥
2026-09-28 06:30:54
4
Hommiesavage166 :
💯🔥Songa ni hatari
2026-09-28 09:02:09
3
Esmail Feysali# :
kwani unamiaka mingapi?
2026-09-28 17:10:49
4
fahmy :
ghetto ambassador.....pia nimemsikiliza noma
2026-10-09 15:35:29
1
Ras daddy Dreadlocks :
ukiwa bado mdooogoo saaana?!! miaka mingap mwenetu ..?!
2026-10-07 21:57:19
1
mjengwa tz89 :
nyabingi nakubar sana michano yako
2026-09-28 05:35:12
2
Mtepa Bakari :
yes Songa hacomplcate sana kwenye uandishi Mzee🙌
2026-09-29 06:21:17
1
Tella Axis :
songa kaanza mziki lini
2026-09-29 07:26:50
2
kingkola@chuganation :
NAKUBALI WANAO BISHA HAWAELEWI KINA SONGA ILIKUA N MWAKA GANI WAMEANZA OYA NIKI MBISHI TOKA 2006 YUPO KWENYE GAME SONGA 2007 YUPO KWENYE GAME DIZASTA VINA 2011 WANAO KUPINGA HAWAELEWI
2026-10-04 18:03:19
0
Nyeusi Unju :
yaani wasanii wengi sana wa hpp walikua wanawaskiliza lunduno
2026-09-30 20:04:37
1
man tito :
uwakika familia tamaduni music runduno
2026-09-29 08:54:35
0
Jah ki :
nyabingi baba we mkubwa kuliko songa
2026-10-08 12:59:49
0
sifuu :
ndo mana Songa anakuambia analeta vibe za chin chin kama undercover
2026-09-29 11:06:41
0
Janja boy Msukwa :
miaka mingi nyabinghi
2026-10-03 07:14:06
0
Ras daddy Dreadlocks :
afu kwnye michano yake ukimskiza anachana anaongea km vile hkuna rapa yyte anaemwofia yan wala aliye na uwezo juu yake .. ila kwnye interview zke anajidogosha tena... ile michano ulikaza mno, af kwnye kuong3lea game unalegeza mno .. 😁
2026-10-07 22:00:06
0
Mamen Nobo :
🥷🔥
2026-09-28 05:31:20
2
lutumbo master :
👊
2026-10-02 05:06:25
0
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm
homepage.