@mr_maarifa: #viral #fyp #hyena #wildanimals #animals

Kobe The Storyteller
Kobe The Storyteller
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 05:30:25 GMT
45358
2130
24
30

Music

Download

Comments

tembomsafi7
TEMBO Msafi :
sasa kaka ukituma wakiwa wanajamiana ilitujadili vizuli
2026-09-28 12:08:14
3
nadhirana106
Nana💘love077 :
Aya sasa maajabu😂😂😂
2026-09-29 05:12:06
1
suleimansalim857
Suleiman Salim :
Nikwel nimemwona live anasehem mbili
2026-10-22 20:21:57
0
user1782726039011
dax kuam :
ila tiktok kila mtu na lake
2026-10-21 10:56:58
0
emmanuelmagae739
Emmanuel Scott :
onesha jinsia
2026-09-29 06:52:42
1
ndiku.the.great
NDIKU THE GREAT :
jibu ni la Asha sio la mwajuma
2026-09-28 09:22:21
2
annastephano8
Msibe :
hicho kiungo tukione
2026-10-23 19:23:19
0
prezy.dar
prezzy Dar@21 :
nilibishaa sna lakn nikamini mikumi nikauliz wale game wakasemaa😃😃😃😃
2026-10-02 22:05:13
0
user618363607029jmmyayo
james guide🇹🇿🇹🇿🇮🇹🇮🇹 :
female has pseudo penis(false penis)
2026-10-03 06:26:30
1
honestmbise245
Honest :
tuseme ana kisimi kirefu bhna
2026-10-14 10:12:07
1
maarifa_time3
MaarifaTime :
Pseudo penis (false penis)
2026-10-15 00:02:04
1
vinnykyando
vinny driver :
kiungoo ichooo🤣😂😂🤣😂😂😂
2026-10-10 08:22:28
0
mimah.harith3
Mimah Harith :
hebu mfanyie hv Fisi tuone jinsia
2026-09-30 12:01:58
0
user90920234312543
Richard the Wild Wisdom :
jike anakitu kinaitwa pseud penis lakin sio uume wa kwel jike anajinsia moj tu
2026-10-15 18:48:43
0
omar.juma41
Omar Juma :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-28 07:56:38
1
kassim.mjukuu7
Kassim mjukuu :
🥰🥰🥰
2026-09-29 10:14:31
0
madigosanga
Madigo Sanga :
😳😳😳
2026-10-24 12:42:17
0
mwixhokwenda
Mwixho Kwenda :
🥰🥰🥰
2026-09-29 19:35:25
0
mberwaluhizo
Mberwa Luhizo :
🥰🥰🥰
2026-10-21 10:41:44
0
imatheboytz
Eng: Brian Emmanuel 👑💻🇹🇿 :
Uke wa Fisi Jike Unafanana na Uume: Fisi jike madoa ana viungo vya uzazi vya nje vinavyofanana kabisa na uume wa fisi dume (kitaalamu huitwa pseudo-penis). Sehemu hii ya uzazi ya jike huteleza na kusimama kama uume, na hata mfuko wa mayai ya uzazi wa nje wa jike unafanana na pumbu za dume. Ugumu wa Kuingiza na Kutoa Tofauti: Kwa mtu anayewaangalia kwa macho tu akiwa porini, ni vigumu sana kumtambua fisi dume na fisi jike. Watu wengi zamani (na hata baadhi ya hadithi za kijadi) waliamini kuwa fisi ni hermaphrodite (kwamba ana viungo vyote viwili vya kiume na kike au kwamba wana uwezo wa kubadilisha jinsia). Ukweli wa Kibaolojia: Fisi jike ndiye mkubwa zaidi, mwenye nguvu zaidi, na ndiye anayeongoza kundi (matriarchal system). Fisi jike ndiye pekee anayebeba mimba, kujifungua (kupitia huyo pseudo-penis), na kunyonyesha watoto. Fisi dume kazi yake ni kutoa mbegu tu ili kumpa mimba fisi jike.
2026-10-20 08:55:31
0
To see more videos from user @mr_maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About