ila huyo gpt nikiboko kabisa umekaa bila mpangilio kama mashabiki wa simba kwani huyu gpt wako ni mwana yanga daah amenivumja mbavu ila wew dogo nimbunifu sana
2026-09-28 07:34:30
32
Salhaa msumbuf :
My beautiful hubby polilo umependeza leo umeogaaa
2026-09-28 05:47:02
14
Anna Sherry :
Hiyo nakataa katakatakataakataa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-26 19:31:13
13
Devotha👩❤️💋👩 :
ata mimi nimekataa siyo wewe🤣🤣🤣
2026-09-28 05:55:31
8
Azrah :
😂😂😂😂sio ww haiwezekani
2026-09-28 11:59:57
10
ney cutie🥰 :
nakataa kata kata😅😅😅
2026-09-28 20:22:35
7
H.💝. MP :
ndio nakata katakatakataaaa🤣😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-28 08:46:15
6
mtoto wa mama :
kwani nyie serikali haiwaoni vijana kama Hawa??? wafwatiliwe wanadhalilisha jamiii!!