soma yoha1:1, zaburi ya 24 yote, zaburi ya 23 yote. na mwanzo 1:1-10.
2026-09-28 17:04:06
1
IMAGINATIONS :
huwa nashangaa sana hii kanuni ya kusema ukiwepo tu duniani basi ni lazima uabudu kitu fulani wameitoa wapi? [Innocent]
2026-09-28 11:10:26
2
Sam๐น๐ฟ :
hio Asili ilitoka wapi, Ama nini Chanzo Cha hio Asili
2026-09-29 11:14:42
0
christophermusa81 :
Hakika ๐ซก Mungu ni Nguvu Kuu inayo ondesha vitu vyote ama Mungu ni Asili ya vitu vyote vinavyo onekana au tunaweza kusema Mungu ni UWEPO uliyopo Kila mahali.๐ซก
2026-09-28 06:34:52
0
Michael :
tupo wachache sana tunaoelewa
2026-09-29 00:24:11
1
Amana Amani :
tunazka mwili siyo mtu
2026-09-29 09:45:40
0
INNOCENT NShokano MuHumBira :
mitano tena
2026-09-29 13:07:01
0
sam :
Kazi nzuri mkuu
2026-09-29 10:19:59
0
44885500 :
unasema kweli baba
2026-09-29 12:16:40
0
Flo Flora :
ahahaa tusameheee sio sisi ni dini zilitudanganya.. lakin mimi nilitoka huko
2026-09-28 15:08:46
0
oxymoron_kid :
mwili utarudi mavumbini na neno mwilinlinatokana na neno adama ambalo ni vumbi au udongo kwahio mwili lazima urudi kwenye mavumbi ila roho na pumzi hai lazima irudi kwa alie kupa hio yaani yahuah au yahweh
2026-09-29 07:37:08
0
Chief miungu :
hongera sana kijana watu wamefungwa kifkraa. Bado juhudi inatakiwa.
2026-09-29 06:59:21
0
siza juma :
madhara ya shibe hayo mimi ninaswali kwako ili mtu afe ni lazima roho na mwili vitengane mwili unaenda kaburini je roho inaenda wapi
2026-09-29 05:29:35
0
Toston Troverley :
Kwan asili chanzo Chake ni nin
2026-09-28 13:42:37
0
HAAKANI_PHONE_ACCESSORIES :
watu wa mungu hawawezi kukuerewa kaka wao wanaamini sisi tunajua japo hatujui sanaa
2026-09-28 08:39:05
0
mjahidina issa :
unapo sema asili ni ndani ya yote bado hujafafanua asili ni nini. tupe pointi chanzo Cha asili ni nini ili tuelewe
2026-09-28 11:54:00
0
Happy :
mmepatwa ni nini jamani
2026-09-29 16:28:57
0
patrisha :
tumechok jamani tuacheni
kama tumeamini Mungu yupo tuachen hapo
kila kitu kumeumbwa na Mungu
2026-09-28 08:05:46
0
Frank mainer :
Ivi kweli Kuna mbingu na Kuna moto๐๐
2026-09-28 06:30:45
0
Bongoman :
ukweli huo wakatae wasikatae sis kama team anti religion they must conquer with us as we pump knowledge into their mind ,one of the biggest problem is they think that theirs power in the bible even heaven doest not exist and things in the bible cannot applied in real life
2026-09-29 08:49:51
0
Mathew Kiwelu :
kama umepotea, basi usipotezee na wengine wewe endelea kivyako, acha sisi tumwabudu mungu. soma yuhana 1:1-hadi musho.
2026-09-28 16:56:12
0
atheist :
DINI NI BIASHARA ZA WATU, ULAJI TU LKN UKWELI WANAUJUA
2026-09-28 09:54:29
1
salim :
ww watu wanakufira sio bure unatupangia cha kufanya tumuabudu nan
2026-09-28 18:36:30
0
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.