@talkboutitwithconradley: Energy doesn't lie. Hakuna mabadiliko ya kalenda yatakayokuponya kama bado unakataa kuachia yaliyopita. Mwezi huu, usikimbizane na ukamilifu. Kimbizana na amani ya moyo wako. Ukuaji wa nafsi yako unastahili kila mabadiliko unayopitia sasa hivi. Share video hii na mtu mmoja ambaye anahitaji kusikia ujumbe huu leo. #creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #talkboutitwithconradley