Mda mwingine ni genetics t kuna miili mingine inahifazi san mafuta timbon . Nmepungua zaid ya 22kg but niko na bellyfat 😥🙃 jpo ntkiwa kuchukua htua
2026-09-29 09:14:50
39
Witgad Enterprises :
mtindi ni Nini?
2026-09-28 10:26:48
4
pendo :
dada mshukuru Mungu kakuumba hvyo na siyo mapambano believe it or not.!
2026-09-29 14:54:58
13
neemajanuary210 :
wewe ndo mimi kabisa sipend mtumbo uzembe
2026-09-29 14:17:43
5
mima :
mh ni mejaribu kula mlo mmoja kilicho Nikuta nili hara hadi damu na vidonda vya tumbo hv mh cna mwili mkubwa ila keep tambi jamani nna kilo 60 ila hicho kitambi ni shida
2026-09-28 16:21:43
4
Lady D :
Tukumbuke kuwa miili ina tofautiana, kitakacho fanya kazi kwako kwa mwingine hakifanyi kazi. Jaribu kile kitafanya kazi kwako. Kuna watu wakifunga hupungua wakati wengine hunenepa.
2026-09-29 16:53:42
6
Vick baby :
mimi nakunywa chai asubuh mchana sili nakuja kula uck ila tumbo haliishi au inategemea na nnachokula
2026-10-21 23:55:07
0
Rosemary :
mtindi unisaidie nini mamaaa
2026-10-24 12:22:46
0
Diane Rainhard🔐🌸 :
Me nakula kila kitu yaaan kilaaa nakula ila sinenepi
2026-09-29 12:02:41
1
Mom brayan💝 :
ukila mlo mmoja lazma uwe vizuri
2026-09-30 05:31:21
1
jkphoebie :
watoto uko Na wangapi ??????
2026-10-30 10:13:04
1
ulukuwaimjukuu :
Ngoja nami nijaribu
2026-09-29 09:29:06
0
The Queen🫅 :
mtindi Ni nini
2026-09-29 15:06:12
0
Eng. Eze :
Mtu anaenda kulala jioni saa 1 usiku anakula ugali daah
2026-10-15 05:11:53
0
vai wa maila :
ni mwili wa mtu
2026-10-01 12:06:17
1
mombribella :
asante
2026-09-30 15:04:58
0
Elizabeth Ngweshemi :
Unawatoto wa
2026-10-07 13:51:16
1
Miss peace 💖💞❤️ :
kwakwl
2026-09-29 10:08:34
0
jessy beauty :
10/10 kama Mimi ❤️
2026-09-29 09:21:03
0
Witgad Enterprises :
Thanks
2026-09-29 10:19:13
0
Proud mama❤️ :
Em simama
2026-09-29 13:55:10
0
Mama Sasha :
Mimi nikifanya mazoezi naongezeka uzito
2026-09-30 17:53:09
0
ikaw asubuhi ikawa jion :
akijaamua tu kukutembelea rafiki
2026-10-22 07:01:28
0
bourkelly@ :
hongera zako mwayaa
2026-09-29 09:14:55
1
To see more videos from user @evelynewillium74, please go to the Tikwm
homepage.