nina machungu kuhusu CRDB niongee kwa kukaa au kwa kusimama
2026-09-28 13:38:24
10
Agness Kileo199 :
Yani NMB ata tarifa za cm awatumi kabisa
2026-09-28 09:20:29
450
Deborah MN :
M niliibiwa NMB 😂😂 sijaweka hela tena
2026-09-28 11:37:24
165
charito23 :
mi skuhz nishashtuka natumia zangu UTT kama bank
2026-09-28 12:59:42
96
browniemonroe26 :
DTB bank hii ni bank bora sana
2026-09-28 09:48:15
73
Trude🎀🧸 :
Nikweli nishafatilia CRDB Mh
2026-09-28 08:24:58
57
martha💓✈️ :
trh 15 niliangalia Salio la account yangu ya equity nikakuta ni negative 🥺nilipiga sim equity nikaambiwa nadaiwa na Yas wamekata 350k na Bado nadaiwa nikapiga Yas nikaambiwa hakuna seni lolote ambalo Yas wamekata so niongee vzr na equity,, equity wakasema ngoja wafatilie trh 18 asbh napat sms kweny Yas kuwa kias Cha sh ml 1 kimehamishwa kwenda kweny account ya equity nikapig Yas wakadai nimefanya huo muamala kwend kweny account ya equity na niliangalia equity Salio hamna ,,nlichanganyikiwa nikawapigy sm Yas wazuie huo muamala coz sijafanya wakadai account hiyo Haina hiy Hela 😩😩😩yooo nikaambiw nifike tawin nikasema nitawafataaaa huko lkn kufika trh 20 ,,,Hela ya kweny bank equity ikaludishwa na ya kweny Yas ikaludishwa mpaka sasa sijaelewa kwann hizo Hela zilitoka na kama nisinge angalia Salio la equity ningekuta Hela hamna zimepotea😂
2026-09-28 10:08:05
11
lyneesilvester :
CRDB wameniibia sanaa sina hamu niliweka 450000 baada ya wiki nikawa nimeenda kutoa lak4 nashangaa hel aitoki baadae nikaamua niangalie salio ety kun 370000 niliwapigia cm maelezo yao ayajanitosheleza kabisa nikaamua nitoe hela yote iliyobaki kutoka hapo cjawek tena hela na natamani nikaifunge tyu iyo account
2026-09-28 12:46:34
59
Briana :
NBC niliweka hela mara 2 tu sijawah itumia tena lkn nasikia et wanakata riba hatakama huweka hela 🥺
2026-09-28 08:51:28
24
adverahvee :
Kwa comments hizi, CRDB kuna namna wanatakiwa kubadilika sanaaaa tu ikibidi wafatilie na system zao
2026-09-29 19:43:28
44
bella❤️🇹🇿 :
sasa benk ipi ni nzuri jamani, kwasababu sasa tunachoka
2026-09-28 13:17:10
34
serenamacho :
tangu waniibie crdb sijawah kuwa na account ya bank had Sasa miaka8
2026-09-28 16:02:33
28
SHANIE :
mie crdb imekuwa kawaida jmn nakatwa sana elf 3 tatu uwiii
2026-09-28 11:03:11
23
MarVV :
NBC mm natumia sijapata hayo matatizo au ndo sifatilii🥺🥺🥺
2026-09-28 15:58:50
20
Maggie Lastborn🍭 :
sasa kila mahali wanaiba tutaweka wap pesa zetu
2026-09-28 13:16:21
9
Mom Jayden 💋🥰 :
Hata mm pia nmb yangu juz nmejaribu kutumia nmb mkononi wanasema huduma haipatikani niende et branch zao sijui shida ninii
2026-09-28 22:31:13
5
Chongerezi machozi :
DADA NMB NI WIZI HATA JUZI WAMENIIBIA SANA NMB NIWEZI SANA IMENIUMA SANA
2026-09-29 03:26:38
5
babyshaky0 :
Ndomna huwa sipendi kueka pesa NMB pesa ikiingia tuu natoa fasta ni bora niweke mpesa au niwenayo Cash tuu wapuuzi kabisa
2026-09-28 09:42:13
22
.....🌸Baby Ollie💃🍫.... :
hizi kesi huwez zisikia NBC
daima karibu nawe🥰
2026-10-02 11:34:19
22
fettie baby😍 :
Hivi bank statements unaweza Ona kwa app au hadi bank
2026-09-28 11:35:40
40
Sylentkiller07 :
Bank statement wanakata sh ngapi?
2026-09-28 14:25:01
8
reen@90 :
Mm nilikua naona pesa zinapungua kila mwezi unakuta zimetolewa mara 2 kwa mwezi haswa karibia mwisho wa mwezi sasa bana nikawapigia wakaniambia ni services charge ya card nikawauliza nalipia mara 2 kwa mwezi? nikawa mkali sasa nina miezi 4 sijakatwa hata hyo ya card
2026-09-28 08:25:26
27
Yasini Twalika :
Mimi ni Leo hii tare 28 mwez huu wa tisa,
nilikuwa na laki mbili na 42 na vichenchi,
mwisho wa mwez ulopita nikatoa laki mbili nikaachwa hyo 42,
lakn Leo nimeenda kutoa Naambiwa hela imekatwa kwenye makato ya mwaka.
hao ni CRDB
2026-09-28 13:54:10
13
To see more videos from user @sophyntibah, please go to the Tikwm
homepage.