@mwenge.sda.church: BWANA USINIACHE! Kama kuna jambo la kusikitisha sana katika maisha yetu ya kiroho, ni pale tunapoendelea na shughuli na taratibu za kiroho, lakini ndani yetu Bwana tayari ametuacha. Tunaweza kuwa na uwezo mkubwa, mazungumzo mazuri, ushawishi mkubwa, vipawa vizuri, nafasi nzuri na hata kuonekana tunafanya vizuri mbele za watu. Lakini ndani yetu Mungu akawa hayupo tena. Na kama siku moja tutagundua kwamba tumefika mbali na Mungu, tusifiche hali hiyo kwa kuendelea tu na taratibu za kiroho kana kwamba hakuna kilichotokea. Tumwendee Mungu kwa unyenyekevu na kulia mbele zake: "Mungu wangu, Bwana, usiniache." . . . #OneVoice27 #MissionForAll #sautimoja27 #utumekwawote #mamboyotemapya #tumainilinaanziahapa

Mwenge SDA Church
Mwenge SDA Church
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 07:12:25 GMT
1735
209
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mwenge.sda.church, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About