hahaha kapita mulemule na siyo kumpeleka tu hata kuolewa nalo[Laugh approved]
2026-09-28 09:13:40
3
Ressy💦 :
Hamuwapelek alf wanawatumia tu bure bila manufaa na unajua huwez pelek nyumban mwish wasiku ad umpate unaemtak ushachok ni nonsense kipenz,, chamuhim tulia tu atamahusian husiwe nayo jmn me ndo man nipo single singulaa🤣🤣cwez faidish mtu mie😅
2026-09-28 15:43:39
0
Dark..L£O☠️ :
kwani nyie ndo mnatupeleka au sisi ndo tunawapeleka
2026-09-29 22:35:29
0
Brylight😍😍 :
hata kumtambulisha Kwa malafiki tuuu cmtambulishi
2026-09-28 14:29:31
2
Mr P Mahugi :
nyie ndo mnajua hatujui😁 ila ss tunajua😂
2026-09-28 07:24:20
2
black code 08 :
hahahaha kumbe na nyie mnachagua mnaoa kumbe siku Hz hongeren
2026-09-29 10:52:15
0
Leslie Mgimba :
non sense
2026-09-29 15:49:18
0
Amedeus Mallya🔥💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
mwaju nimekumiss 🥰
2026-09-28 08:12:59
1
TEFFOR BRAND🇹🇿@. :
jichanganye😂
2026-09-29 13:44:19
0
Justin stamphord :
sisi tunajuaga mapema san ndio maan tunakuw hatuwahudumii🤣🤣
2026-09-29 14:55:11
0
Mayachris12 :
Wewe hujui ila sisi tunajua😅😅
2026-09-29 09:45:10
0
Rasheyv_kid :
2026-09-29 10:03:28
0
Mzee kijana8 :
sasa we ndo hujui sisi tunapo kitongoza2 tayari tumamipango kichwani toka mahisiano yanaanza mpaka kuachana
2026-09-29 11:12:56
0
Dark..L£O☠️ :
Nyie ndo hamjui tu 😁😁
2026-09-29 22:35:09
0
Diason Dastan :
But sisi ndo tunaoa Kwo tunaangalia wa kumtambulisha😅
2026-09-29 10:16:02
0
~IJAY🥰 :
uzuri hata sisi atunaga shida sana na kwenda kwenu maana sisi wenyewe nyumbani atuendi 😂😂
2026-09-29 10:43:16
0
official sham🔥🥰 :
😂😂 kwel bnaa
2026-09-28 10:30:19
0
To see more videos from user @mwaju__, please go to the Tikwm
homepage.