@naupenda.uislam: #creatorsearchinsights #feelingbroken TANBIHI KWA MACOMEDIAN

NAUPENDA UISLAM
NAUPENDA UISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 07:36:33 GMT
194363
13814
415
869

Music

Download

Comments

mwakutanga
chii krakova :
mashallah mashallah usithadhi kingwendu
2026-09-28 22:39:09
1
han_so_vah
han so vah :
Qur'an ni kwa ajili ya wote, iwe wachekeshaji hata wacheza mpira na watu wengine wote Acha isomwe na wanaojua na hata wasiojua, kwasababu hakuna aliyezaliwa anajua Mwisho, usiwadharau wote, usipime utu wa mtu kwa status yake, heshimu wote kwa usawa Muache asome, muache ajifunze, acha ubaguzi
2026-09-28 09:23:04
86
ayana.queen13
Ayana Queen :
mashalla tabaraka Allah 🤲
2026-09-28 13:59:28
1
mrsceltic
Swaumu omary :
mnataka tucheke tupate zambi 😳
2026-09-28 11:49:08
20
haroubalzakwani
brown_magari :
nimejikuta na cheka 😁astaghfrullah
2026-09-28 09:48:05
10
sniper3d66
Mr Balad :
Nani ameskia kaymati
2026-09-28 10:10:36
10
idriss.idriss.daz
Idriss Idriss dazy :
allah aqibar
2026-09-28 20:29:14
0
hemedywangu
use kagere :
naaaaaaaaam maashallah
2026-09-28 14:23:06
1
leila.kyaruzi8
Leila Kyaruzi :
mashallaah
2026-09-28 12:08:19
1
user8450444770039
user8450444770039 :
nyie chukueni hiyo maik msifanye mzaha kwenye dini
2026-09-28 10:25:39
15
mwambamwamba16
Dr. itungema :
mbona alikuwa anaruka haya
2026-09-28 09:27:51
12
asha.amini
Asha Amini :
amejitahidi😂😂
2026-09-28 09:58:34
8
wange5707
wange :
nitafanya vipi nirudi kwa uwisilsmu kwa sasa miaka 34yrs
2026-09-28 12:38:09
8
bahatii16
bahatii :
wapi katukana?
2026-09-28 10:05:44
5
user5516103007398
jumaaMartin14 :
hapa ni hekma za mashekhe kuwarudisha ktk mstari wasanii wapete kurejea kwa Allah.lazima utambue watu unao wangoza ni wanna gani na lazi uwendanao kwa jinsi walivyo kujenga nao ukaribu na taratibu kuwarekebidha.sio kwa kuwafokea kuwalaani huo sio uislam..kiongozi lazma uwe na makundi tofauti na kujuwa ni makundi ya sina gani.hongeren mashehe watatubu na watarejea kwa Allah
2026-09-28 11:29:21
6
mwaliwangu59
mwali wangu :
mashaalla
2026-09-28 11:17:20
0
allydaddy80
my name is.. :
usomaji wa Quran wa bara ni tofauti na zanziba akikusomea mzanziba Quran yani utamani aache kusoma maana inakuwa na radha frani inayokugusa moyoni
2026-09-28 12:52:27
5
mkikoyoone476
Merry🥰🥰🥰 :
Msione madhaifu kajitahidi banah
2026-09-28 10:24:54
8
ally.yakuti
BABA NABIR :
kwenye dini hakuna mwenye fani ni jambo jema
2026-09-28 13:05:54
8
beatuslucas327
beatus magigisi :
cjaona kosa cjaona tatzo Allah bless 🙏🙏🙏 kiumbe hiki
2026-09-28 12:34:58
5
young.kb_78
Dj Kb :
hahahahahaha nimekubali Kaz Kaka mashaallah
2026-09-28 08:34:58
5
yussufbayu
Yussufbayu :
mashallah
2026-09-28 11:43:05
2
leahdiomides
Leah Diomides :
Makofi 👏👏👏🤣
2026-09-28 15:30:51
2
iddmaster002
Idd........... :
🤣🤣 mashaalah
2026-09-28 11:53:57
2
seja_43
JM printing&General Supplies :
Mashaaaallah
2026-09-28 11:46:22
2
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About