@oswardgajosi: #creatorsearchinsights tunahitaji watu kama Hawa washike uongoz wa juu Tanzania 🇹🇿 #tanzania🇹🇿 #fyp #viral #trending

strong💪
strong💪
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 07:38:09 GMT
237076
18857
337
567

Music

Download

Comments

afizinurumohammed
afizinurumohammed :
main point
2026-09-29 15:41:00
1
godson.mungaya
Godson Mungaya :
asante
2026-09-29 11:46:01
0
user5597719812482abdul
Abdul timos :
Asante mumbunge wet
2026-09-30 06:46:49
0
merichongasi
mericho ngasi :
strong mind
2026-09-30 12:26:46
0
mad.dog7068
John tz🇹🇿 :
mtanikumbuka 😥😥
2026-09-29 17:28:40
35
masalulwino8
Masalu lwino :
msukuma una akiri sana kumbe unajua tatizo lilikuwa picha za samia mungu akupe upeo zaid
2026-09-28 17:53:24
61
ezekia.buzubona
Ezekia Buzubona :
Iia musukuma haufai kua cccm maana unaakili nyingi sana mimi hua nakupata sana
2026-09-29 12:33:06
60
jonisaweda200
JONIS AWEDA :
gombea uraisi awamu ijayo
2026-09-29 13:57:14
14
user3566903879629
user3566903879629 :
Sasa yale ni mabasi au ni TATA! Na yale ya katarama tuyaiteje, au yale ya Allys
2026-09-28 18:36:16
5
gideongeraldo3
gideongerald485 :
Ishu ya leseni ni shida sana
2026-09-29 10:07:32
22
user3611991609265
user3611991609265 :
Hivi hao wanaoteua mawaziri hua wanatumia vigezo gani maana watu wazuri, wenye weredi, wenye uzalendo mnawaacha nje ya mfumo.
2026-09-30 06:25:50
7
aman.ezekiel7
Aman Ezekiel :
pole sana mr msukuma ninakukubali sana
2026-09-29 16:06:52
7
kryamunu
kiryamunu 777 :
wewe mtu wawatu unakubarika sana mtani
2026-09-28 15:15:33
22
mchibyajr
mchibyajr :
kumbe unajua kabisa kuna ambao sio wenzao na wananchi
2026-09-28 09:38:27
24
user0654827195
Elisha :
Mungu akupe maisha marefu msukuma
2026-09-29 18:14:14
9
serekamaan
serekaman :
kazi na utuuu
2026-09-28 17:49:17
6
mvamba123
user5110703071671 :
waambie ukweli mkuu
2026-09-29 10:07:39
7
richysteven4
fantastic incredible :
king msukuma uishi maisha marefuuu
2026-09-28 19:59:47
8
simonsaprela
saprela :
nyinyiem wanaojitambua wachache
2026-09-28 18:58:27
6
user8081207956101
116607 :
mzee tunashukuru kwakutukumbuka
2026-09-28 10:10:08
5
abdullyjr72
Abdully04 :
Madereva wanaongoza kwa kuzaaa
2026-09-29 06:12:16
6
hunter7_8
Hunter :
Huu utaratibu wangeufanya kwa madereva wanaoanza kupata leseni si kwa wenye nazo tayari
2026-09-29 08:07:37
8
simon.silla0
Simon Silla :
yaan katika timu ya wabunge walioko mbugeni kwa sasa huyu ndo mbunge bora sana hana mbambamba
2026-09-29 13:19:12
7
benbariki
Tit4Tat :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-28 15:02:32
11
19sudi
19sudi :
mtu alishakuwa na leseni na ni dereva mzuri tu lkn cha kushangaza ukienda ku renew unaambiwa ukasome ili upate cheti kwa ajili ya kupata leseni mpya hii sio sawa kabisa
2026-09-28 10:02:44
10
To see more videos from user @oswardgajosi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About