@jeff_tronix_25:

1️⃣JEFF _tronix25
1️⃣JEFF _tronix25
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 07:41:50 GMT
17266
2466
153
45

Music

Download

Comments

rayzer_24
rayzer_24✝️ :
leo uko serious sana 😂😂😂
2026-09-28 07:51:39
40
jayvirgo26_kipaji
JAY〆VIRGO🇧🇷🇧🇷 :
neno la mungu linabondwa tu ….🤔
2026-09-28 08:34:33
39
aizen.malcomx
Aizen :
very matured mind
2026-09-28 08:42:35
0
jumathomas41
jumà thomas :
wambie broo
2026-09-28 09:27:30
0
ben_mashe_07
# b3NNy_07 :
seriously bro
2026-09-28 09:29:01
2
priscashairock1
P🫶 :
fact fact
2026-09-28 09:39:59
0
furahabeauty20
furaha♥️ :
Bro umeongea point[Red heart]
2026-09-28 09:21:42
2
useradv.sarah
Adv Sarah Juma :
Absolutely 💯
2026-09-28 09:28:58
0
mussa.msafi
Mussa Msafi :
tatizo Hawa wanao endaga kanisani wanaonaga kama mungu ni wakwao peke yao...[Tears of joy]
2026-09-28 09:15:45
6
bannie395
bannie395 :
Neno la Mungu Linabondwa tuu UKu tunabarikiwa mtajua wenyewe 😂
2026-09-28 09:10:21
3
ms___jassy
@ms___J :
malugha yenyewe atuyaelewi tunasema tu amina😅😅
2026-09-28 09:22:48
4
vincent.alex16
Vincent Alex🇿🇲+🇹🇿 :
yaani neno lamungu libondwaaatu uku tunanyoongaa
2026-09-28 09:01:50
5
liljay9972
✨𝓛𝓲𝓵 𝓳𝓪𝔂💫 :
hadi nimeogopa umefoka🔥🔥🔥
2026-09-28 08:06:22
7
realevara
call me MUFASA :
kabisa brooo
2026-09-28 07:56:47
7
mtafutajicasto
💥 MTAFUTAJI CASTO 🤩 :
sijawai kukupinga ata leo like ziwe nyingi
2026-09-28 08:45:36
5
youngstar.666
Young star :
😂😂😂 leo umefikisha ujumbe kwa utani kaka ila n big point.kuna watu wanajiona wao tayar wameshakuwa wakamilifu kuliko wengine
2026-09-28 07:51:32
9
user3882793672556
PETERTRONIC :
kabisa jeff TRONIC
2026-09-28 07:55:14
3
kylie19399
Kylie :
😂😂tusipangiane kila mtu apge mishe zake bana hukumu ya kweli Iko mbinguni
2026-09-28 09:29:46
1
user48748144223915
No body# :
Saivi watuonyesha Id ya kibali walicho pewa na Mungu
2026-09-28 09:20:03
1
shadrackfungo335
Shadrack Fungo :
apo ndo nekuelewa ila wengine sijaelewa kabisa
2026-09-28 08:23:37
4
geo.marwa
Geo marwa :
Hakika bro
2026-09-28 07:44:27
2
yasinta.kisholi
Yasinta Kisholi :
kuna watu wanajikuta wasafi 😏
2026-09-28 08:12:33
2
adamu.boy7
AMK💪 :
sana kaka respect wa2 wanajifanya kama waungu kutoa hukumu kushinda hata Mungu mwenyew
2026-09-28 09:22:38
1
user1825137035126
Emma lastborn :
Ata kanisani nashauri fuata maneno ya mchungaji sio matendo
2026-09-28 08:29:26
3
munge665
Mpendwa🤓 :
kaka umenifanya nicheke adi majirani wanauliza😂😂
2026-09-28 09:06:20
1
To see more videos from user @jeff_tronix_25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About