@_zuzaism: Part 225 | Tunazungumzia uchambuzi wa kina wa sayansi ya maji, kioo cha akili ya chini ya fahamu (Subconscious Mind), na jinsi ya kuendesha maisha yako kupitia mawimbi manne ya mwezi: kuanzia giza la kimkakati la Mwezi Mchanga (New Moon), nguvu ya vitendo ya Mwezi Mwandamo (Waxing Moon), mwangaza na usafishaji wa Solve wakati wa Mwezi Mkamili (Full Moon), hadi mapumziko ya Mwezi Unaopungua (Waning Moon). Mtu anayejua kuendesha maisha yake kulingana na mzunguko wa asili hahangaiki tena na mkondo wa dunia. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #moon #subconsciousmind

zuza
zuza
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 12:00:00 GMT
22850
2193
51
97

Music

Download

Comments

carlosbrown08
Carlos Brown :
nishati ni energy ama
2026-09-28 23:42:16
1
belthaj
belthaj :
Nahitaji kitabu
2026-09-28 19:03:10
2
frankmotorstz
frankmotorstz :
ushawai sikia mtu anaambiwa mwezi mchanganga ?🖤
2026-09-29 09:01:44
3
evansevastone
Bob Lau-Tin :
safi bro
2026-09-30 08:45:20
1
miriamfrank88
mv♑️🥰🥰 :
unaiongeleaje Sabato?
2026-09-28 12:18:38
0
brightyuvenaly
Baby B :
na ukiota unatazama mwezi na ni zaid ya mmoja hii ipoje
2026-09-29 12:05:54
0
soul_eagle7
SOUL_EAGLE7 :
ASE 👑🦁
2026-09-29 15:34:26
0
geoffreyjohn645
geoffreyjohn645 :
zuza 🙌
2026-09-30 10:16:00
1
kimonda69
@kimoda243 :
drc
2026-09-30 14:00:12
0
abuu35fatwima
Zuberi :
Mimi ninaruhusu upepo wa ulimwengu unisafirishe maka kwenye utumufu wangu
2026-09-29 10:08:07
2
paulshayoo
Paul Shayo :
nakipata wap kitabu chako
2026-09-28 14:15:09
1
user1774452514099
Town Express Tz :
Nahitaji kitabu
2026-09-29 08:49:03
1
jacobbenson285
rat 🐁 smart :
nipe maana la jina Yako zuza
2026-09-28 18:24:54
1
jsmartphones
J SMART PHONES & ACCESSORIES :
491 GBZ
2026-09-29 11:17:02
1
rwaburunguabdulat
Rwaburungu Abdulatwif :
Mimi ni shabiki yako kutoka Ugandan
2026-09-28 20:10:21
1
tfive_mnyama
T Five :
Ahsante sana, nahitaji kujua vingi kuhusu mwezi, Kuna mama anafanya matibabu kwa kufuata size ya mwezi
2026-09-29 05:17:30
1
_central_sea
Mtu bora 𓃵 :
Unajuaje hivi vitu??
2026-09-28 19:41:32
1
mgastpimp
mgastpimp :
👏👏👏
2026-09-28 12:05:46
0
asakaci
M-TIC TAC :
kijana shukran
2026-09-29 04:32:59
0
pradajr845
prada :
sahihi
2026-09-29 06:38:06
0
eddy.bk3
Eddy bk :
Mmmh sijaelewa
2026-09-29 11:04:38
0
blessingmushi
Innocent Mushi :
Hii ya mwezi mm ninaushuhuda nayo nilisafisha mwili kwenye full moon daaa mpka leo mamb yamenyooka kwakwel tofaut na mwanzo na inakaa mwilin sana
2026-09-30 19:57:43
1
barakajoseph298
Baraka joseph :
kaka wewe nomahatal sana nakuelewa sana
2026-09-29 06:58:05
0
she_juma
Shejuma :
maarifa
2026-09-29 12:25:40
0
kingnyau1
Carloz calvin :
2026-09-28 12:10:21
0
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About