@decortoigian: khoan mua kệ. tranh treo nặng nề, thử decal dán tuoengf 3D này nè mọi người..#decortoigian #trangtrinha #decaltrangtrinhacua #decaldantuong #decaltrangtri

hatrang1006
hatrang1006
Open In TikTok:
Region: VN
Monday 28 September 2026 08:20:45 GMT
328
2
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @decortoigian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

UWALITA YAPINGA OPERESHENI YA UMOJA MOVIE, YAIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI Umoja wa Wamiliki wa Library za Movie Tanzania (UWALITA) umeiomba Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kuingilia kati operesheni inayofanywa na kampuni ya Umoja Movie dhidi ya wajasiriamali wa Library za Movie nchini. Umoja huo umeitaka Serikali kusitisha operesheni hiyo kwa muda na kufanya uchunguzi ili kubaini kama inatekelezwa kwa kufuata taratibu na sheria zinazotumika. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Kahama, Mwenyekiti wa UWALITA Taifa, Ronadi Mwakagugu, amesema mamlaka husika zinapaswa pia kusimamia urejeshwaji wa vifaa vilivyochukuliwa kwa wahanga wa operesheni hiyo wakati uchunguzi ukiendelea. Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Josiah Nchama, ameeleza kuwa operesheni hiyo imewaathiri wajasiriamali wengi, huku baadhi yao wakilazimika kufunga ofisi zao kwa hofu ya kukamatwa. Naye mjasiriamali wa Library za Movie kutoka Kahama, Ibrahim Nashon, ameiomba Serikali kuunganisha mifumo ya ulipaji wa vibali ili kuondoa usumbufu na kurahisisha utekelezaji wa taratibu kwa wafanyabiashara hao. Hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za operesheni katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Kahama, inayofanywa na kampuni ya Umoja Movie dhidi ya watu wanaoendesha biashara za Library za Movie kwa madai ya kufanya shughuli hizo bila kufuata utaratibu. Je, una maoni gani kuhusu mgogoro huu kati ya Umoja Movie na wajasiriamali wa Library za Movie? #BongoConnect #UmojaMovie #UWALITA #MovieIndustry #Tanzania

About