@ruphinaado: MNAONA TABASAMU LA USHINDI🙏🙌 TUSIACHE KUIMBA 🙏💃💃💃💃@CatholicSongs🎶 @Mbiki @DEO LIMILA @Allen @Cymon_ApriL♈ @KKM - MIVUMONI

phina
phina
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 07:54:06 GMT
92431
10779
490
94

Music

Download

Comments

tadeolubida
tadeo 26 :
Tulio tabasam huku tukitaman tuwe pamoj naye tulike
2026-09-28 14:23:05
84
.gabbygr7
@@ Gabby🔥🔥Gr7💪💪 :
sauti ya kumtoa mtu kwenye dhambi na maovu🫴
2026-09-28 08:11:46
51
mo.fundi
Mu Fundi :
sisi madeleva wa school bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye juice za watoto
2026-09-29 06:05:45
12
delalka44
delalka :
Mungu hamtupi mja wake 🙏napenda imani yako🥰 ssy Phina
2026-09-28 08:42:53
18
silvia.simon91
Silvia@Godlady :
shaanza kuwa kama wewe najua nitaweza😂😂🥰🥰
2026-10-03 06:03:17
1
dotofelix
dotofelix :
Hongera sanaa dada Mungu azidi kukutunza ck zote🥰🥰
2026-09-28 14:30:44
8
fred..32
Fred Kimondiu :
Dada Phina, hongera sana kwa ustaarabu wako katika uimbaji. Unapoimba, unavutia kweli,,,kipaji umejaliwa, na zaidi ya yote, unaonekana kufurahia kwa dhati kumtumikia Mungu kupitia kipawa chako. Heko sana Dada, endelea kung’aa na kumtukuza Mungu kwa kipaji hicho! 👏🎶🙏
2026-09-28 13:43:05
10
2025ritatemba
MLR💫✨🙏🙏 :
Nakupenda Bure , Hakika inapendeza zidi kutabasamu Kila Jambo ❤️
2026-09-28 16:55:39
1
peterah4
vetelo 254 🇰🇪🇰🇪 :
me trying to sing bt ending up just smiling 😊
2026-09-29 03:51:26
0
user6025927561002
lencergratia :
clock it 👌
2026-09-28 11:08:06
0
chrismutisya11
CHRIS MUTISYA :
sauti ya malaika 😚🥰
2026-09-28 19:48:34
0
0scardp.0fficial
#0scardp.0fficial :
Mmh iyo sauti!! nachoka mimi! au we ndo Yamaha FS yenyewe🫣... by the way, nakupenda sana phina soloist wa mwaka wa mbele
2026-10-02 19:46:29
0
mariah420
mariah420 :
mi ntka uimbe kwny sendoff yng bhna
2026-09-28 15:36:25
0
sarah.kasunga6
Sarah Kasunga :
umenifanya nikufol
2026-10-02 17:15:18
0
favoured571
🦋 M.O.I.G.E ❤️🍂 :
Tazama mnavyopendeza❤️❤️
2026-09-28 15:29:47
0
user33227009469580
Regina simon :
Waooo jamaniii una sauti nzurii Sanaa Dada yanguu
2026-09-29 03:43:31
0
user1768054533284
@alex irunde :
mbinguni utaenda mamaa
2026-09-28 15:43:03
0
anastaciaboniphac
Annastacia@@@ :
kipenz changu nakukubali mno dada angu hujawahi kuniangusha mdogo wako 🤣🤣 nakupenda bure❤️❤️🫶🫶
2026-09-28 14:43:47
0
kayokakhan7gmail.com
ROMUALD CONSTRUCTION :
kuimba Raha san
2026-09-28 12:25:55
0
niah6859
niah🥰 :
Phina wangu, nakupenda jamani❤️
2026-09-28 14:43:02
0
michellem6452
MichelleM :
This is beautiful
2026-09-28 13:25:24
0
shillajepkorir1
Shilla Jepkorir :
girl ❤️❤️
2026-09-28 13:48:30
1
ifinati9
Madame kamanchi 💕💕✌ :
🥰🥰🥰
2026-09-28 11:38:17
0
samsonsamson671
samsonsamson671 :
❤️❤️❤️❤️Mapendo
2026-10-02 13:04:01
1
stevemagugudi
Màgugudi jr :
wow
2026-09-28 11:18:47
1
To see more videos from user @ruphinaado, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About