Pray for my wife total healing in Jesus name. Amen🙏
2026-09-29 15:11:21
6
user2472369917749 :
kwa pamoja tuwaombee wanafunzi wote wanao ingia ktk mitihani ya Taifa waaze salama na kumaliza salaama
2026-09-28 10:39:20
90
Morena :
praying for a peaceful job and for a child
2026-09-29 17:18:01
0
Sinyora :
the power of this beads
am coming back home
2026-09-29 17:21:26
0
Lucy Wanjiku218 :
good health in my family and financial breakthrough 🙏
2026-09-29 14:30:03
0
Regina Sylvester :
naomba nipate mwanaume wa kuishi nae na nifunge nae ndoa
2026-09-28 15:52:51
34
RENOWNED WARRIOR :
jiunge kwenye group la ROSALI TAKATIFU link https://chat.whatsapp.com/KEbsadmFLBcJR01u0gup93
2026-09-29 08:22:11
6
clara :
praying for good health me and my family... financial breakthrough
2026-09-29 05:56:09
1
Rosie :
Naomba amani kazini and financial breakthrough🙏🙏🙏
2026-09-28 16:58:08
0
ONE💕LOVE :
Naombaa kibali kwa Mungu niongezee uzao
2026-09-28 14:39:32
7
Mummy Aziel :
Naomba kupata Amani ya moyoni mwangu
2026-09-29 16:32:55
2
Neema Chapaulinge :
nawaombea wanafunzi wote wanaoingia kwenye mitihani wezi wa 10 🙏🙏🙏
2026-09-29 15:02:04
2
Tr .Nasambuuu :
eeeh mwenyezi mungu naomba nipate kazi 🥹
2026-09-29 11:52:17
1
annita :
nawaombea watoto Ashely form4,shelma grade 9 na Vincent grade 9 Na watoto wrote wanaofanya mitihani Yao Mungu uwape Neema Na hekima Kwa Kristo bwana wetu Amina
2026-09-28 11:51:55
8
mama loulou 💕 :
Naombea watoto wangu pamoja nami mungu atujalie afya njema, naomba kupata kazi yenye kipato kikubwa ili niweze kulea wanangu vzuri
2026-09-29 11:58:19
2
from your account :
naombea mamangu apate uponyaji wa miguu zimemsumbua Kwa muda mrefu sana
2026-09-29 04:36:15
2
Getrude Gabriel :
Ni maombi yangu kwako eee MUNGU nianze na nimalize mwezi wa rozari takatifu na baraka zako juu yangu na famly yangu kupitia maombi haya utujaakie afya njema naomba sana kwa jina lako tuepushe na magonjwa yakututesa na kutuumiza ulisema yote yaliisha msalabani🙏🙏🙏
2026-09-28 15:59:52
5
Celina Nanyambe :
naomba afya njema kwa familia yangu pamoja nawazazi wangu
2026-09-28 13:03:44
3
Sophia @alex2007 :
naomba Mungu anifute machozi yangu.. kwenye mwezi huo wa rozali ninakupa nia zangu zote.. nisaidie mwenyezi Mungu..nipe hitaji Lang la kwanza mtoto,, Linda familia yangu.. nakuja mbele zako kwa unyenyekevu mkubwa Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-29 06:15:23
2
tevinamelia :
Nomba amani katika ndoa yangu watoto wangu kufaulu katika mitihani yao
2026-09-29 05:55:38
1
naffy_mo :
Naomba kibali kwa mungu cha kupata kazi na nisewe mtu wa kukataliwa na watoto wangu wakawe vichwa na siyo mkia katika masomo ya ulinzi wa familia yangu na afya njema
2026-09-28 14:29:42
1
Jay :
naombea watoto wa dadangu ambao wanakalia mtihani wa kidato Cha nne haswa sana mmoja wao ambaye amekuwa na shida ya kuvimba miguu,akifika shuleni tu shida inaanza.Na kifungua mimba wangu ambaye analalia mtihani wa grade 9,Mungu awajalie afya njema.Amina
2026-09-28 15:23:37
1
Revi's🦋 :
Naomb mapaji sana ya roho mtakatifu has akili elimu kwa watoto wangu napia ndoa
2026-09-28 15:45:52
1
Kenda0725986285 :
Naomba Amani kazini, afya njema kwa familia yangu na wazazi. Financial support
2026-09-28 16:32:47
1
tinne_G@18 :
afya njema,hekima,🙏kibali,anikutanishe na watu sahihi kwenye maisha yangu
2026-09-29 17:14:27
0
To see more videos from user @kavilah1, please go to the Tikwm
homepage.