Hata hiyo machine inahitaji fundi ndiyo ifanye kazi🤣
2026-09-28 14:55:26
13
Hangaza Queen🥰 :
Kwa Mama Ollie😂
2026-09-28 15:42:57
2
user1990384692616 :
mafund niwez Bora iki kifaa kije tu
2026-09-28 09:32:47
3
rehema chamshama :
mafundi mmezidi kuiba cement sasa kwisha habariyenu
2026-09-28 11:40:24
4
Gasper :
fundi ndio anunue hiyo mashine ili impe hela
2026-09-28 16:05:22
1
G man :
Mafundi wanaturingiaga
2026-09-28 10:10:42
0
ndumiwe :
uzir haiwez fka kila sehemu
2026-09-28 19:22:46
2
Jacob :
hawa watu tukiwachekea tutakosa kabisa saidia fund😢
2026-09-29 06:44:22
1
innoce192 :
Na mafundi pia wataenda ki sasa watanunua mashine zao 🤫
2026-09-28 09:30:02
7
ME-CO :
hii ndio hasala ya technology
2026-09-28 18:45:12
2
Yohana :
Shida ni mafundi wa kuiba
2026-09-28 10:03:30
5
kiegu# jr :
inategemea na site yenyewe
2026-09-28 11:10:41
1
✨Mida Luxe Collection ✨ :
s mpk update hela ya kununua mashine
2026-09-29 10:27:55
1
wakwanzasamwel :
hapo hata ikifanya mashine bado anatakiwa kuwepo fundi ambae anajua kama kazi imefanyika au hapana
2026-09-28 15:32:28
1
MSALITI :
Watakula kwa mama ntilie
2026-09-29 11:13:59
0
B&M ELECTRIC SUPPLY AND SERVIC :
Ulaji upo palepale make sio Kila mtu atawaeza kulipia gharama ya hiyo mashine
2026-09-28 10:10:56
2
T.shop pointer :
watakula maana huu ujenxe wakitajir kila kitu kiwe tayar kinunuliwa mashine inainua tuu ila tanzani tunajenga kidogokido ifo mafundi bado watakula kwa wanyinge wenzao
2026-09-28 10:57:26
4
Abdul-Malik :
Watanunua hio mashine kwa kuboresha kufanya kazi kwa wepesi zaidi na kutumia muda mfupi
2026-09-28 11:34:35
3
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.