@grandprofessor4: Tuma text WhatsApp 0677446404

Grandprofessor1
Grandprofessor1
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 08:34:40 GMT
84856
1745
125
262

Music

Download

Comments

msuyabugatti
MSUYA BUGATTI :
ukivusha tu ndo unakutana na hizi taarifaa😂😂
2026-09-28 12:37:26
7
abdushakur562
Abdull :
Burundi 🇧🇮 tupo nyuma kwa kila kitu
2026-09-28 11:12:50
4
josh_rafiki
King Josh :
Vipi congo bro??? ume ona kiasi gani wa congo tume okoka au??
2026-09-28 13:53:53
4
nextitsme
nextitsme :
hao million 2 hawawezi kutuambukiza watu million 70+
2026-09-28 09:36:32
7
user3869131276990
frank :
Duhhhhhh
2026-09-28 09:53:53
0
nyamugo0
Majuale00🇹🇿🇹🇿🇮🇱🇮🇱🇮🇱 :
Kwahiyo East Africa inatisha kwa maambukizi
2026-09-28 10:17:45
4
nasri95991
🦋Tina🥰🦋 :
Mbona sioni burundi 🇧🇮 🤣🤣🤣
2026-09-28 12:44:46
0
binhaji15
binhaji :
zanzibar je??
2026-09-28 08:45:38
2
243bhaishong
Bhai Shong🔵 :
Where is this Flag🥰🥰🥰
2026-09-28 23:54:23
0
elitzfx
EliTzFx🧢 :
na Kuna wale waliopo nao ila hawajui😀😀😀, hiyo 1.7milion sio kweli, ipo Zaidi ya hapo mkuu
2026-09-28 12:44:48
3
fredzokeneth
FREDZO@KENETH :
Kwann nchi za Africa Kwan kwa wazungu hamna mbna kila cku Africa
2026-09-28 13:13:11
1
_____dimples
Dimples🇨🇳 :
uzuri Mwenyezi mungu ametuahidi Dunia nzima ahadi ya kifo kwahyo uumwe usiumwe siku ikifika imefika tu no choice
2026-09-28 11:13:42
3
moodykipla
moodykipla :
Stop stigma bro 😤
2026-09-28 11:51:45
1
gaki.gena
Gaki Gena :
sisi wakenya hatujafurahia,,sisi dio huwa tuko number 1 kwa kila kitu,,,bona round hiii,,,wametuimbia hatukumbali na hii list ichunguzwe tena
2026-09-28 16:19:04
1
patrick_mindfullness
patrick_mindfullness :
Kwa hiyo tuna division 1.7 straight A's..tumefaulu
2026-09-28 17:04:56
1
kaundathegreat
kaundathegreat :
Malawi ndio ya 4
2026-09-28 09:27:43
2
giftedsonm
Gifted :
Achana na Tanzania umeiona East Africa hapo 😅dah
2026-09-28 08:52:22
1
tiktokitale
Nameless :
kenya should be No2
2026-09-28 13:13:42
0
mbuta194
sophia ❤️❤️ :
Mungu tulinde Taifa lako tunaangamia tunusuru nakutuokoa tusaidie bila wew huo ugonjwa unasambaa saidia wew Mungu Baba Yesu ona Baba tunaitaji msaada wako utuokowe nahilo janga🙏
2026-09-28 09:46:47
1
anicetniyonkorer
Anicet (best) :
Tanzania [Tears of joy][Fire][Fire] je Burundi 🇧🇮 my country is the best 👌
2026-09-28 14:17:51
1
user7422052283874rashid
rashraider mjukuu wa kenya :
professor hiyo ya kenya ni uongo Kenya ni zaidi ya watu million 5 wengine hata hawaja pima
2026-09-28 10:39:25
0
adelfinanassegmail.com
finah :
kumbuka hizo nchi zipo na unpopulation Tanzania ipo na watu wengi hapa east Africa kama hujui so lazima ikue na hyo ratio kubwa pia foreigner wapo wengi
2026-09-29 18:42:09
0
user7056281130622
user salva d :
Tanzania imenidharirishabilitakiwa kuwa yakwanza😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-09-29 11:20:18
0
user9107905518143
user9107905518143lucy :
Na East Africa tunapenda raha
2026-09-29 10:53:21
0
mtupeace10
mtu peace :
professor umekosea aisee Kenya watuzidi aisee kaanze mwanzoo
2026-09-29 22:00:24
0
To see more videos from user @grandprofessor4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About