Ali choki, Adolf Mbinga, Luixa Mbutu Nyoni, Lilian Internet, Aisha Madinda
2026-09-28 12:22:55
3
sady 📷 :
hiyo ilikuwa ni mwaka 2000
2026-09-28 09:23:13
2
Hassani Killo :
Pumzika kwa amani Hamisi Amigolas
2026-09-28 11:33:18
2
EDWARD A.M.M :
Mimi sio nabii huyu sidhani kama tupo naye
2026-09-28 15:48:05
0
BONGO ZA KITAMBO :
naukubali huu wimbo
choki hapa aliimba sana
2026-09-28 11:55:24
1
Yusufu Sella :
Amisi Amigo
Amigolas Mungu akulehemu
2026-09-28 11:14:18
1
Ramadhan hd :
alitunga ntu mmoja anaitwa amegolasi kawasaki malehemu
2026-09-28 11:03:22
1
sungux :
watu hawajaanza Leo kuchagua amani juu ya mapenzi
2026-09-28 10:13:26
2
nafuu_home_furnishers :
hamis amigolas baba sophy
2026-09-28 11:48:20
0
Alyoce Kimario :
mwamba alicoki huyo
2026-09-28 10:08:45
1
Imelda the best :
doh nimekumbuka mbali😂😂
2026-09-28 09:07:54
1
@Rommaynah🥰❤️ :
jmn ssa c yalishapita tumerudian mnamkumbusha tena aniache😅🥹🙌
2026-09-28 18:06:18
0
Emgo Bukoba :
2026-09-28 17:28:58
0
Ommy Clever :
Huo wimbo ni utunzi wake marehemu Amigolas Allah ampe kauli thabiti huko alipo 😭😭😭
2026-09-28 16:03:32
0
mackenzie_bgk :
Enzi za Suzuki Escudo na Vitara hizo, Daah kweli Enzi hazirudi wallah 🥲
2026-09-28 16:41:33
0
💀 COLD HEART :
Hinzo shemtembaa kinondoni noma kabisa
2026-09-28 15:29:29
0
Diva Diana :
tunataka kujua ambavyo hatujavijua najua choki tupo hai na mutual vp kuhusu hao wengine
2026-09-28 13:52:08
0
Kleylee :
huu ndio muziki sasa!!!. sikuhizi wapiga vyombo wao ni makelele tu...
2026-09-28 18:30:35
0
Tellah :
jamani Aisha Madinda....
2026-09-28 14:44:41
0
prezzy Dar@21 :
babaaaa d baba dianaaaaa😃😃😃
2026-09-28 18:38:19
0
master_kraznys :
naomba kuuliza hawa watu walikuwa wanatajwa akina rogati catapila, miriam chimbwile, mariam janguo, iddi Malecela,Jackie pemba walikuwa maboss wenye hela nin😂😂😂
2026-09-28 11:57:18
0
Nikolas mushi :
hapo alichoki alikua na miaka 38 mpaka Leo atakua na miaka zaidi ya 60
2026-09-28 10:00:49
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm
homepage.