@_mijol_: So pain 🥹🥹 #tiktok

LaSTBorN🚶🏻‍♂️
LaSTBorN🚶🏻‍♂️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 09:00:03 GMT
127048
7041
274
320

Music

Download

Comments

tanzante
🥰🥰 iyemi :
*Zaburi 109* ni zaburi ya Daudi, ni maombi ya kulia kwa Mungu dhidi ya maadui wanaomshtaki na kumtendea uovu bila sababu. Kwa ufupi inasema hivi: *1-5:* Daudi anamlilia Mungu asikae kimya, kwa sababu watu waovu na waongo wamemzunguka, wanamshtaki na kumpiga vita bila sababu, licha ya yeye kuwapenda na kuwaombea. *6-20:* Ni maombi magumu sana (laana) dhidi ya adui yake mkuu: anaomba adhabu kali impate, kazi yake ihukumiwe, siku zake ziwe chache, watoto wake wawe yatima, mali yake itekwe, na Mungu asimsamehe kwa sababu hakuwafanyia wengine rehema. *21-31:* Mwisho Daudi anamwomba Mungu amwokoe kwa rehema zake, ili maadui wajue ni mkono wa Mungu. Anaahidi kumshukuru na kumsifu Mungu mbele za watu kwa sababu Mungu huwasimamia maskini na wasio na msaada. Ni moja ya Zaburi ngumu zaidi kwa sababu ina maneno makali ya hukumu. Unataka nikakutumie mistari kamili kwa Kiswahili au Kiingereza?
2026-09-30 13:57:18
78
irenesomi8
ryne :
kweli nina maadui ila i can't pray that for them,
2026-09-29 12:44:20
1
tzbosslady
tzbosslady :
Duuuu nimeenda kusoma [Teary eyed]
2026-09-30 20:23:16
0
celebrityclipstz
Celebrityclipstz :
jamn nimeliaaaa Mimi😭😭😭
2026-10-01 05:52:47
0
deo.hema
Deo Hema :
Ndo nimetoka kuisoma hapa hata cjamaliza nimeacha 😢😢😢
2026-09-29 06:38:17
54
sisterfaa0
Sister fAa🦋😍 :
Lakin anaye jibiwa kupitia zabur niyule atenday hak sio ya kila mt wakuu
2026-09-29 18:35:40
118
victoria.karera
Victoria Karera :
Yooooooh Aiseeeeeee🙌
2026-09-30 08:06:59
0
user7014574472337
ifx :
hiii hatariii
2026-09-29 19:16:47
55
peaceyummycakes
peaceyummycakes :
Leo nimeisoma mara 3 watajua wenyewe nishachoka
2026-09-29 18:02:59
20
ms_miel23
Vay Madekenya✨ :
Zaburi ya 109 kilo nikisoma wanaishia pale wafe kabisa naishia kulia 🥹🥹🥹
2026-09-30 03:34:21
5
mosha0717
MANKA 🥂 :
Daudi alikuwa anadaui na adui mkubwa alikuwa Sauli 😳Maana mpaka mtt wa Sauli aliungana na Daudi vita ikazidi kuwa kubwa
2026-09-29 13:59:53
24
vee_lady15
rachelaugustine🦋🥳 :
too much pain🤌😩
2026-09-29 20:01:28
0
stevenmbaga58
Stevenmbaga58 :
Inanifanya kuwa mpole sana hii zaburi🙏🏽
2026-09-29 19:36:19
10
user71139008019074
🥰🥰 :
usijaribu kila mtu anamadhaifu yasije yakakuludi
2026-09-29 19:10:22
12
getruder.peter1
God’s favorite 🦋🌸 :
Kuna mtu nilimuazima laki 6 badae akaja akanikana mbele ya mwenye kiti mana nilimpa ki rafiki hatukuandikiana nililia sana ile siku na huku nikiwa na uchungu nilienda kupiga goti nikalia sana huku naisoma hii zaburi hamuwez Amin niliyoyaomba mengi yametimia kwa yule mtu
2026-09-30 01:59:26
5
daktari_muuza_urem
DAKTARI_MUUZA_UREMBO💍 :
Zaburi 109:29 Washitaki wangu watavikwa fedheha, Watajivika aibu yao kama joho.
2026-09-30 05:43:58
14
resicious
Resicious :
zaburi ni nzur sana ukiisoma aisee.naipenda napohis nmechoka nakukat tamaa hakika unipa nguvu
2026-09-28 09:07:51
10
canyiiiii
Ms natty🇷🇼 :
Mim ni Islamic lkn ntaisoma tu hii
2026-09-29 17:47:58
7
kibuah
KIBUAH 🇹🇿💣♎🚥👅 :
nimeisoma na nilichogundua kwamba Si kila maumivu yanahitaji kulipizwa. Kuna maumivu ambayo unamkabidhi Mungu, kwa sababu Yeye ndiye anayejua kilichotokea moyoni mwako......🫂🙌
2026-09-30 16:21:30
5
mstee148
Ms —tee🌸 :
Me niliwasalia watu flan hv hakika mungu alijibu wanaibishwa wao mpaka kesho👏
2026-09-29 14:23:57
7
mlimbo1
magie :
ngoja nimsomee mtu kanizurumu efu40 yangu
2026-09-30 05:41:04
4
user6363653861831
kibonge mzuli👌🥰 :
jamani nani anitumie dm niwe naisoma naomba🙏
2026-09-30 18:10:48
1
sisterdonatha
user1561875260898 :
Naombeni muje hapa wakuu kwanini mimi sifanyi kosa au siongei kitu lakini nasingiziwa nimefanya mpaka nashindwa kuelewa kazini popote nitakapo kuwa hata nikihama ofisi
2026-09-29 20:15:46
3
itsnoelah
It's Noela🤍🦋 :
Naomba kuulza jaman mm nataka nimsomee adui anailoga familia yetu,ntakua nakosea😔
2026-09-30 17:21:08
2
fayra.cherryblush
🦋💖 FAYRA 💖🦋🔥 :
Nisaidien jmn namm kunawatu wananinyima aman nisome vp
2026-09-30 13:00:18
0
To see more videos from user @_mijol_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About