Appreciate Appreciate Appreciate mah men[Cool][Cool]
2026-09-28 14:06:58
1
MOH.SAIBARI :
Baba angu mimi Alinipa ada tu Akanambia utakuwa unakula kwawezako
2026-09-28 14:04:21
95
Gfood 🍗🌮 :
ukiwa unapitia wakat mgumu na wazaz hawajali ndio utamwelewa huyu kaka
2026-09-29 06:25:06
26
lizy :
na watoto tupunguze tamaa tulizike na hali ya wazaz😁😂
2026-09-28 15:21:53
33
Call_me_k2putin🥷🏽 :
USITUFOKEE
2026-09-28 16:32:29
15
Luda_ nation :
mpaka naogopa kwenda kuanza chuo😂😂😂
2026-09-28 14:51:43
10
Joseph Rosse :
kwahiyo watoto wasisome?
2026-09-28 16:35:26
5
ph_view01 :
Shida sio wazazi ni sisi wenyewe watoto tunashindwa kujitambua na kuji discipline sisi wenyewe
2026-09-28 21:54:35
15
LUCKLY🔥🔥 :
ukwel mchunguu
2026-09-28 14:44:40
1
thabitichiumbo :
wanaojiuza wengi ni wasomi upo sahihi kaka
2026-09-28 15:32:30
7
HUSSEIN :
suti hua inahitaji watu wenye kutumia tafsida,😁 na haitaki makelele
2026-09-28 17:12:32
12
Shaun🥀 :
Really bro
2026-09-28 12:07:51
1
user8700510445879 :
ukwel kabxaa [Red heart]
2026-09-28 09:31:59
5
shiru_🍁 :
well said bro dimaga 🔥🔥😂
2026-09-28 11:00:44
13
zemres.b2 :
Niko na ushuuda na hili 💯
2026-09-28 14:09:58
12
صالحIamHilali🤩🇴🇲 :
Fact KBs broo
2026-09-28 10:32:37
9
mkwavinyika :
TUPATE WAPI TENA MTU KAMA HUYU? AMBAYE MUNGU ANAKAA NDANI YAKE.
2026-09-28 15:07:18
20
JR SOUND SOLUTION :
apo sawa twende na mwendo huu huu😁
2026-09-28 10:21:43
12
SHARIFF BADDEST 👊 👊 ❤️532 :
true that mtu ata hajui mtoto wake analipiwa Ada Na Nani yeye ako tu kujitangaza ati Nina mtoto chuo kikuu
2026-09-28 17:10:44
6
CRX11 :
ow broo kweli kabisa unachosema
2026-09-28 11:39:20
10
FADHLI JOSEPH :
Kweli KABISA .mana hata me nalazimuswa kwenda chuo halafu sioni muzazi anauwezo naombeni USHAULI
2026-09-28 14:09:56
6
Vik.ter🫰 :
bro elewa utofauti wa elimu na masomo...masomo ni mchakato wa kujifunza maarifa au skills na huo ndio ambao labda kuna sehemu kuna shida hapa Tz..lakin elimu ni kitu kikubwa zaidi hii inahusisha maarifa yan skills namna ya kufikiri,maadili na uzoefu na uwezo wa kutumia unachojifunza katika maisha
kwa mfano kwenye masomo unaweza kujifunza madhara ya smoking katika mapafu..,lakin elimu ni kuelewa kwa nini ina madhara na kwa kuchambua evidence lakin kufanya maamuz sahihi kuhusu afya na kuweza kumweleza mwingine ...HIO NDIO TARGET YA MZAZI WAKO ..lakin watu wengi wanarud wamesoma bila elimu.
KWA UPANDE MWINGINE mimi ningesema hivi umaskini wa mzazi unaongeza vulnerability kwa mtoto kwa kiasi fulan lakin hauchangiii moja kwa moja kwenye kuharibika yan character wala future yake ....so..,
mwanafunzi anaweza kubadilika kitabia pia kutokana na MARAFIKI,MAZINGIRA YA CHUO, UHURU MPYA,STRESS BINAFSI(fear of missing out),MAHUSIANO,POMBE NA MADAWA KAMA WEED au MALEZI Lakin kaka sio kila mwanafunzi alie katika mzingira hayo basi ataingia kwenye umalaya na u gay
LAKIN WE BERRA WATCH OUR BACK 😂😂 HALI NI MBAAAYA😂
NA KUNA FAIDA NYINGI ZA ELIMU KWA MTOTO WA MASKIN acha kuongelea masomo ya shuleni ONGELEA ELIMU
2026-09-28 14:20:44
11
Bahingai@official15 :
ukweli mchungu huuu
2026-09-28 11:40:19
5
To see more videos from user @dimaga25, please go to the Tikwm
homepage.