Kaka umenena mpk nimelia 🥺🥺tena ila sitotoa chozi tn nahidi mbele ya umati huu namkabidhi Mungu yote🙏🤧
2026-09-30 10:19:50
127
Anania AR :
may God bless you
2026-10-13 04:00:30
0
Glory Tarimo :
[Teary eyed][Teary eyed]October hii Mungu ukanikumbuke [Teary eyed]
2026-10-01 14:08:27
5
susu 🇹🇿🇰🇪 :
Amen 🙏🤲🥹
2026-10-13 19:24:48
0
🦋Nasrah💫💥 :
nyie mimi toka najitambua mpaka leo me ni wakulia2 familia imenitenga yaaan sielewi situation nayopitia ni ngumu sana mungu anisaidie sina faraja zaidi yako mungu sina chochote mimi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-03 18:37:48
29
Helvine :
God bless you
2026-10-13 21:07:56
0
Doreen Nya :
Am the first born struggling with responsibilities in my family,my health and everything.please Lord save me
2026-10-07 05:12:49
2
hope 🌹❤️ :
uwez ameni nilikua kwenye wakati mgum lakin kuona post hii nimefalijika sana Asante kaka
umenijenge kaka Mungu azidi kukuinuwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 inshallah kirakitu kitakuwa sawa 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-02 07:42:55
6
VINE PRODUCTS :
amen amen ubarikiwe sana best
2026-09-28 13:57:46
5
MODISE :
kama uliwezq kunisaidia ata pale nilipokuwa nashida,bas naamn utamponya mke wangu Lucy
2026-09-30 20:06:29
5
M Kiki :
Am lonely
2026-10-07 08:28:06
2
gtasha7 :
Asante sana kaka MUNGU akutie nguvu na asikuchoshe kututia moyo. Maana dunia ina mengi sana ya kutuumiza, na wakati mwingine tunahitaji tu mtu wa kutusikiliza, kututia moyo na kutuongoza. Niko hapa kwa ajili yako pia, usichoke.
Ni kweli tunaamini MUNGU yupo na ndiye anayetuongoza katika kila jambo, lakini pia tunahitaji faraja na moyo kutoka kwa wanadamu wenzetu. Kwa hiyo, cha msingi tuendelee kuombeana, kupendana na kutiana moyo. MUNGU atupe nguvu na mwisho mwema katika kila jambo. 🙏
2026-09-30 09:36:28
5
️Ave cute❤️🔥😘😘😘😘 :
napambana Sana kuomba ajira lakin wao haoni jina langu ee Mungu fungua malango yangu kama ulivyo fungua kwa Paulo na sila 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭
2026-09-30 09:22:23
6
Tinnah 🥰 :
umegusa maisha yangu kaka 🙏
2026-10-06 07:28:20
2
Aisha Shaban :
Umejuaje kam hap nalia 😭😭😭wallh nimechoka
2026-10-06 21:23:48
1
Consolata Akinyi :
amina
2026-09-29 14:51:18
1
theo🧚♂️🦋 :
Mungu atalipa tuu
2026-10-02 19:46:43
1
min🎀timmy🤍✨🫧🦋 :
jamn kam ulikuwepo kweny situation zang inauma san jmn 😭😭😭 daaah inaum sometimes unalia unajilaum why ulizaliw kwnn ww tuuuh
2026-10-10 03:34:53
0
Marianah🌹🌹 :
Daah umejuaje kama nalia, ni kwasababu sina wa kumwambia, mama angu ndo alikua kila kitu ila leo hayupo tenah, naumia
2026-10-08 16:45:51
4
Sisterimelda Majaliwa :
umefanya nalia mim
2026-10-05 21:34:57
2
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.