MwenyeziMungu akujaze kheri,mimi ni miongoni nilishauri anunuliwe taa za sola power japo nne na zote zichajiwe,ila shukrani kwako na Tanesco pia kuchukua hatua za haraka
2026-09-28 20:11:45
1
manfredy :
me nkajua abdul abdul kweli
2026-09-28 22:19:10
0
Husna Ameen :
Mungu akubariki bro katika kazi zako na uwakinifu wako katika sekta ya vipodozi Hakika wewe ni mwamba wa ngozi❤️
2026-09-28 20:06:36
1
Amina Zungu68 :
dah
2026-09-28 20:07:15
0
ashanti :
tunaomba namba tutoe chochote
2026-09-28 17:58:18
1
Kiangi Kaluse :
Mungu bariki Tanzania mungu bariki watanzania🙌
2026-09-28 21:21:42
0
user70298614909408 :
wakati wa MUNGU ni sahahi MUNGU akubariki kwa kuwa umefanyika baraka kwa abduli
2026-09-28 21:13:35
0
pearl :
Tunaweza kupata namba hata ya mama yake?
2026-09-28 18:50:18
1
edinalaizer :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-28 17:59:34
0
Godfrey :
😳😳😳
2026-09-28 18:35:19
0
To see more videos from user @zakayotvbukajr, please go to the Tikwm
homepage.