ss choose one tunahusiana aje na magonjwa
coz I'm seriously battling with deadly diseases one after the other... I'm tired for really
2026-09-29 10:43:36
2
🔑Fedinanti 🌈💥💦💌🤚🇺🇬 :
mama tell me about marriage how I will I get my lovely tell me please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-28 15:00:38
1
Maddy M :
1000% If you knew what you carry, ohh dear ohh dear !!!!
2026-09-28 17:27:12
2
Lazarus 💥 :
i left job for the sake of my peace...they used to take me for granted without knowing my purpose is greater than they think.,,only two weeks zmeisha sasa and i tell you,wananitafuta kama shilingi saio me siezi patikana tena,,time yangu na wao iliisha....now they wish ata hatugejuana because since nwaache hali si hali tena,biashara ilienda chini,mara wanaibiwa na wafanyakazi...kitu ambacho hawajaiexperience time yangu,,nawahurumia though..
2026-09-28 11:10:20
9
SAVAGÉ :
kuwa mteule sio jambo rahisi imagine ni watu walioteuliwa na mungu kwa kusudi maalum🔥dah
2026-09-28 11:09:58
19
monmas :
Thank you Universe for this blessings 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
2026-09-28 16:09:48
1
Incarnated Angel :
Angel number 48
2026-09-28 14:48:33
1
NeyF✨💝 :
hawaanzishi ugomvi,,ndio maana mtu akianzisha ugomvi juu yao utaharibikiwa
2026-09-28 13:14:37
8
Mutahabadiana :
naomba kuuliza vp kuhusu wazazi kukulahani?? maana tulio wengi tuna mvutano na wazazi mimi nikiangalia vita niliyonayo na mzazi wangu duuuh yaani wema wote mpaka kujitoa sadaka kwaajili yake,,kwakweli nilivyoumia tu nikakaa mbali na yeye wadogo zangu nao wamemtupa. kabisa sasa yuko kwenye nyakati ngumu ni kama amefika mwisho wa maisha nimehangaika kutafuta msaada wa kiroho kwaajili yake. ili angarau atengeneze na Mungu,,lakini imeshindikana yaani najikuta naogopa je mzazi kama uyo anaweza kukulahani??
Me nimewahi itwa mchawi wapangaji wenzang walikuwa wananitesa badae wakaanza kuwashwa usiku wakajikuta wameingia kwenye maombi wote 😅😅😅
2026-09-28 14:06:57
2
Kuluchumila :
Ubarikiwe dada angu
2026-09-28 14:35:29
2
rosemary :
jamani Mimi kazini kwangu baadhi ya staf wenzangu Wana nisema pembeni et mchawi jamani na siku nikikasirika Wana niogopa ata kunisogelea
2026-09-29 04:43:55
2
Lozzy fau :
kusemwa kwel tuna Hali ngumu sna Mimi lastwek nimepewa talaka Nina watoto wawili.yaan mm miaka Yote ya ndoa n vurugu hdi tumeachana
2026-09-29 05:19:40
1
Abdovan :
sasa mbn mpaka majini wanataka niwaoe hii imekaaje
2026-09-28 14:55:16
1
khadra :
ni mimi ila naumwa dhidi ya uadui
2026-09-28 16:28:47
2
Alice Suchi :
kweli kabisa
2026-09-28 11:00:49
4
Mbwa Mwitu :
binafsi nimeshajifahamu hivyo hata nikiumizwa huwa naanza,kujitibu mwenyewe ili nisiumie kwa lengo la kutomuumiza kwani nimejifunza mengi kuhusu hasira zangu huwa kama gharika[Pray]
2026-09-28 11:13:58
2
offisho yeye :
amina
2026-09-28 16:27:37
1
user544946240625Agnes 1993 :
niukweli kabsa
2026-09-28 17:51:43
1
mammy :
je chosen anaeza mbadilisha tabia narcissist kweli
2026-09-28 12:54:41
2
heaven@blessy :
niko na watu wengi nimewanenea mema haki sai ni masonko na wenye nawanenea mabaya hawatoboi
2026-09-28 11:11:41
4
KASSIM KASSIM :
Umesema ukweli💯💯💯
2026-09-28 12:01:04
3
John Mnzajila :
Ahsante sana Madame 🙏
2026-09-28 20:52:14
1
feza company :
True
2026-09-28 14:48:51
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.