@ghosttalkvibe_tz: #ghosttalkvibe #NjooTuongeeMaisha #ilekighostgaus

Ghost Talk Vibe
Ghost Talk Vibe
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 10:30:37 GMT
34369
1947
52
136

Music

Download

Comments

richjr49
Rich jr🤑 :
kumbe ndy maana watanzania tunakua na uoga,, kumbe tulisha zindikwa 😅😅
2026-09-29 04:11:50
35
luqman_tz3
Luqman_tz3 :
Mwenge aupo Tanzania pekee mjue hilo
2026-10-04 05:06:31
2
therealyyuulee01
buuda best 259 :
kwenye jina langu malizia na ganze 👊
2026-09-28 20:32:11
3
kings.man718
King's man :
Nilisha hipataa hii stori. pia kaka fwatilia kuhusu rangi ya bendera nasikia kuna nyoka yupo anayohiyoo rangi but sina uhakika sana kama ni kweli au laaah.
2026-09-28 12:43:15
14
ally.sungura
CaptAi№sungura :
inasisismiwah sam hii history
2026-09-28 11:43:40
2
kasongov6
mr kasongo :
Hii story hata babu yangu kingunge aliwah kuniadisia ila kuna baath ya vitu haujavitaja
2026-09-28 11:47:51
8
meddymsomali1
Msomali Tz :
Vipi kuux ile Fimbo ya mwalim🥰
2026-09-29 05:46:09
3
sallo2787
Mokot.27 :
Kaka Ni Sahii.! 100% na Hiyo Habari Iko wazi ila Tu Haisemwi.!
2026-09-28 15:54:29
3
sirmajortz
°0°DIVISION🧢 :
licha tulizindikwa lakini hawaamini macho yao kila October 29😁😁😁
2026-10-01 06:07:12
6
nyantundu
𝐢𝐧𝐜𝐡𝐀𝐫𝐠𝐞 :
Somo la uraia lirudishwe mashuleni.
2026-10-04 07:58:58
1
yuzzo392
yuzzo :
saiv hta wauzungushe nyumba kwa nyumba haisaidii, wa2 tumebadilika na tumejitambua tunahitaji mabadiliko wale vijana waliokua wanasema ni taifa la kesho ndio sisi ssa😂
2026-09-30 10:26:04
5
victorlyimo25
mr :
sikweli
2026-09-29 11:09:40
2
nasmah723
Nasmah :
Ni vizuri kwasababu bila amani tungekuwa na ukabila
2026-09-28 12:31:48
4
user7612057691396
user7612057691396 :
sio Mimi naikataaa tangia mtoto
2026-09-30 04:58:42
1
chiefkadaso
Printing_graphic designer :
Kinachoanza kwamba hakuanzisha si sahihi, maana Mwl ndiye aliwasha na ukapandishwa Kilimanjaro hivyo ni mwanzilishi tayari, huyo aliyekuja na ujumba akafariki ni mjumbe wa wazo la kimizimu kuhusu mwenge na hapo si mwanzilishi, basi kama ndivyo waanzilishi ni hao waliompa namba 115 je tunawajua!!!
2026-09-28 14:13:36
3
54hey_
Your Bestfriend ❤️ :
Hii pia nilisikia kwa Babu hii
2026-09-30 06:28:18
1
chiefkasendeka
Maalim Sudi🇹🇿 :
aiseeee
2026-09-28 12:36:52
1
pathstudio_tz
Path studio tz :
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa
2026-09-28 16:47:45
0
dkt.davidwisdom
Dkt. David Wisdom :
nice
2026-09-28 18:40:50
0
lucianyoni66
lucianyoni66 :
alafu hayo maneno niwimbo tulikua kwenye kitabu Cha uraia zamani sisi tumeshakwisha kuwasha mwenge
2026-09-30 06:13:19
0
jacklineuwoya
Ritawakashia :
asa Mungu anahusikaje hapo dagoni sio Mungu msijichanganye
2026-09-30 15:23:49
0
joshua.ndayikeje
Joshua Ndayikeje :
Kaka umefany nikufolow
2026-09-29 13:54:23
0
issamussa122
MSWAHILI🚯 :
Mzee mbona sasa 115 zinatumika na gari za wagonjwa Ambulance
2026-10-04 14:31:15
0
buda915
user8701425741829 :
kweli kaka
2026-09-30 08:06:46
0
lifewithnature17
True naturetz🇹🇿 :
Hii ni propaganda iliyo tengenezwa ukweli kuhusu mwenge ni ibada kati ya moja ya ibada za roman cathorik ngoja nikutafutie kitabu kinacho elezea ibada ya mwenge ndani ya kanisa
2026-09-30 10:11:13
2
To see more videos from user @ghosttalkvibe_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About