yani kicheko cha siwa ndo kinazidi kumuudhi mwadawa 😂😂😂
2026-09-28 19:03:47
6
Ismambo🦋bint Jasir🤍🦚✨🇹🇿 :
jmn tunaomba season 3🙏
2026-09-28 11:19:34
18
chwity zuu :
hii siku nilicheka mpk nikapaliwa na mate
2026-09-28 11:51:27
17
Z✨ :
We nae fungua tu save
2026-09-28 16:52:32
2
bbyshuu1 :
Ety babu omy wa mizimuni🤣🤣🤣ila tukae
2026-09-28 17:03:02
4
agybabe :
[Tears of joy][Tears of joy]eti anangwenya matembele
2026-09-28 13:56:53
3
wardah🥰😍 :
hapa hata bibie alitaka kuchek
2026-09-28 12:41:37
1
Ms_eyes♾️💕 :
Nimewasmii hawaa😂😂🙌🏾
2026-09-28 12:21:55
2
Naima wangu :
jamani sehemu ya 3 tunaomba
2026-09-28 11:29:18
1
aysherhussein :
naimc jmn😆😆😆
2026-09-28 11:32:57
1
GEE tonny👄 :
Next
2026-09-28 13:41:33
1
Amwaly :
tumewamic jmn mtuletee nyingine
2026-09-28 22:17:50
0
Hopemkwama :
nimeimis san ❤️
2026-09-28 11:23:20
1
mushikiwaboamina :
nimawamisii jamaniii😂😂😂
2026-09-28 19:32:07
0
Mimaah08 :
😅😅
2026-09-28 13:10:50
1
Z✨ :
Ila awaaaaah khaaaa
2026-09-28 16:52:13
1
GEE tonny👄 :
Next
2026-09-28 13:43:34
1
Tausi.qn :
Yan nilikuwa nikiwaon tu hat Kam sin furaha iyo sk nafurah vp mlikuw mnajua kunifrahsha[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]