@nijuzenews: Madeleka: 'CCM haimiliki jeshi kwa mujibu wa Katiba, lakini imekuwa ikimiliki kwa mujibu wa Chacha' Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>>‎ https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u

Nijuze
Nijuze
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 11:11:11 GMT
57256
2281
136
94

Music

Download

Comments

cypher514
Cy514 :
chacha ni nani .. ?
2026-09-28 12:47:02
0
lenijuli0
lenijulius19 :
realistic theory
2026-09-28 13:24:04
0
husseinazizi600
Abu nurati :
kwani majeshi yenyewe yanasemaje
2026-09-28 13:05:42
5
anney4821
William :
ccm hawajui hilo na hawako tayari kujua hilo na majeshi yote yamekubali kuamrishwa na ccm dhidi ya raia
2026-09-28 12:08:25
23
godfreygodfreykas
Godfrey Godfrey kashaija :
bigup sster madeleka
2026-09-28 18:14:12
0
hudhair_02
𝕳𝖚𝖉𝖍𝖆𝖎𝖗 𝖖𝖆𝖘𝖎𝖒 :
Kwani 1992 kulikua na Jeshi la zimamoto
2026-09-28 18:34:58
1
user1256135179547
user1256135179547 :
very true
2026-09-28 12:36:06
0
user1713637959003
user1713637959003 :
kaka unasema ukweli mweupe.
2026-09-28 12:35:44
3
magafumwizarubi
Magafu mwizarubi :
mwambie
2026-09-28 19:37:27
0
jacksontz657
jacksontz657 :
Tukuulize amri jeshi mkuu ni Nani
2026-09-28 13:20:41
0
mlenoluis
mleno luis :
kauli ya chacha imenivunja sana moyo
2026-09-28 12:10:56
6
makoye2753
Makoye :
Chacha yupo sahihi kwa 100%
2026-09-28 17:32:57
0
user93571576852668
user93571576852668 :
Wakili ni kwamba . Mhe. anamaanisha hivi baada ya chama Ccm kushinda Uchaguzi ni inashika dola inamaana pana si hicho unacho ongea
2026-09-28 11:55:21
1
msafiri.lenatus5
Msafiri Lenatus :
mfano chadema ikishinda ucbaguz inamaana itakuwa inamiliki jeshi ikiwa lile jexh lilikuwa linawakata kihuni
2026-09-28 13:42:48
0
user3087395684346
Sosy :
chacha kwa mujibu wa katiba ndo ukweli ulivyo kwani waziri wa ulinzi ni ccm na amri jeshi ni ccm pia na Mkuu wa majeshi anateuliwa na Rais wa ccm pamoja na IGP. sioni mjadala hapo ukweli ni huo KAZI NA UTU.
2026-09-28 13:12:24
1
mwombeki77
Mwombeki :
Huo ndo ukweli Tz katiba ni nchi ambayo katiba yake inasema hivi na ccm inasema hivi na ccm ndo imejifanya katiba
2026-09-28 18:58:48
1
raulreverbe
raulreverbe :
Uhalisia ndo aliosema ule chacha
2026-09-28 12:20:07
3
user4152945849137
big horn :
kikubwa hapa nikatiba ibadilike na mifumo yote ya uchaguzi mana hata chama kingine kiki shinda lazima iwe kama alivyosema chacha
2026-09-28 15:55:55
1
rugemalila6
rugemalila :
Wakat nipo mtoto nilkua najua majeshi yote niyawananchi. nmekua ndo nikajua niya Ccm. napompaka wamesema wao maccm
2026-09-28 12:29:11
1
johnandende
john andendekisye :
tunahitaji katiba mpya
2026-09-28 11:57:35
1
user6733553136765
Comfort Chain :
chacha katuangusha wanaume anatongozwa anaenda police baada apeleke moto
2026-09-28 13:18:11
2
cosmas.maganga
Cosmas Maganga :
Kauli ya Paul Chacha haina tofauti na Dkt Bashiru Ally Kakurwa ambaye aliyewahi kusema kwamba, CCM itatumia Dola kubakia Madarakani.
2026-09-28 13:30:00
1
johnsonjames4232
Johnson James :
madeleka unachoongea n kwer ila ccm imebeba mzaifu mengi san
2026-09-28 12:10:39
2
ibrah3266
ibrah :
basi majeshi yatoe tamko
2026-09-28 12:58:01
2
omaryduruduru2
d2 :
CCM mpaka aibu kwa kauli ya Paulo Chacha kumbe CCM Ina miliki majeshi loooh
2026-09-28 12:56:28
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About