@the.kenyan.preside: Hii usawa inasumbua watu wengine sana. Lakini mimi nawahakikishia, liwe-liwalo, juu-chini, Kulia-Kushoto, usawa itakuwa katika nchi yetu ya Kenya ~President Ruto
ndo maana wanapinga kila kitu unachokifanya Mr president lkn n kwa sababu ya chuki , nko nyuma yako asilimia mia Shaa inafanya vizuri sana na imenisaidia pakubwa Sana,,, NHIf ilikuwa haisaidii mnyonge maana uki reg ulikuwa walipia 500,, na kuwa activated mpaka 6 month ndo uweze kuitumia na kila Mwez walipia 500 so kama mtu ako na immagency NHIf ilikuwa haiz kukusaidia
2026-09-28 12:54:42
0
stivcetric.com :
Two Term 👍👍👍👍👍✌️✌️✌️✌️
2026-09-28 11:55:09
0
Battery Low🪫 :
2026-09-28 12:43:08
0
To see more videos from user @the.kenyan.preside, please go to the Tikwm
homepage.